Stress ni nini? Soma hapa

Stress ni nini? Soma hapa

Nicodemas Tambo Mwikozi

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2016
Posts
663
Reaction score
1,047
STRESS NI NINI..?

Stress ni pale unapompa msichana lift halafu akazimia ndani ya gari yako na humjui wala hujui kwao. Ulimkuta tu njiani ukamsaidia.!

Noma zaidi ni pale unapoamua kumpeleka huyo msichana hospitali na akabainika ana mimba dokta akaanza kukupongeza kuwa unakaribia kuitwa baba!

Stress ya tatu ni pale unapokataa na kumwambia dokta mimba si ya kwako, mara ghafla msichana anazinduka na kudai mimba ni ya kwako?

Stress ya nne ni pale dokta anapoamua kukupima ili kuthibitisha, na baada ya vipimo anakwambia mimba si yako kwakuwa huna uwezo wa kumpa mwanamke mimba.!

Stress ya mwisho ni pale
unaporidhika majibu ya doctor kuwa huna uwezo wa kumpa mwanamke mimba lakini unakumbuka nyumbani una mke na watoto wawili.....!!!!!!
 
Stress zingine unaikaribisha ahera kwa nguvu
 
Hapo kweny hyo stress ya mwisho sijui hata tumain utalipata kwa nan au wap
 
Stress inayofuata pale unaporudi nyumban na kukuta watoto wako wawili wameenda Kwa baba zao
 
Stress inayofuata hapo ile yakufahamu baba yao watoto ni rafiki zako
 
Back
Top Bottom