Nimechoka kuishi mwenyewe

Njoo tuishi wote maana hata mimi nimechoka kuishi mwenyewe atiii nakua kama bubu hata wakuongea nae kwa simu sinaaa
Mi nipo serious, sitanii,sasa naomba mawazo yako na sio utani
 
Bado mkuu sijampata mwenza, pia nawaza na hii mihangaiko yako, hv kweli ntaweza au atanionaje muda mwingi sipo
Utasaidiwa na wasio na mihangaiko kama yako mkuu........................kama umewakosa mtaani Ingia Tagged, Hi, Tango, hukuhuku JF wamejaa ni ww tu kujichagulia.
 
Tafuta katoto kazuri kamoja.

Uswahilini huwa kuna vitoto vingi tu vinapenda kujishikiza kwenye mageto ya wasela ilimradi tu getoni kwako kuwe na kasofa, dressing table , ka sub woofer na tv flat screen.
Mkuu nataka mke ndio bora,sio mtu wa kujishikiza, na magonjwa haya, si nitashindwa kufanya kazi, kila siku UTI, sitaki
 
Back
Top Bottom