MtanzaniaJeuriSr.
Senior Member
- Mar 28, 2012
- 187
- 96
Habari yenu wakuu? Nahitaji guest house ya karibu na Morocco junction na bei yake tafadhali. Ahsanteni.
Morocco hotel au kule karibu na airtel?Habari yenu wakuu? Nahitaji guest house ya karibu na Morocco junction na bei yake tafadhali. Ahsanteni.
Katika ubora wako....Bakule
Karibu na airtel mzeeMorocco hotel au kule karibu na airtel?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Katika ubora wako....
Hivi mgeni wetu wa jana alikubali kulala Tiptop au Ubungo?
GUEST ILIYOPO MJIMWEMA KIGAMBONI.
Habari zenu wana jf. Wikiend hii nataka nikale bata mji mpya wa Kigamboni kwa hiyo naomba kwa wenyeji Mjimwema wanipe majina ya guest house na bei zake tafadhali