bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,998
Ewe bidada usiku unageuka bundi kisa mapenzi, Mara unakonda kisa umepigwa chini, ooh sijui wataka unywe sumu kisa huna npenzi, looh ntampata wap Mume Mie kisa umri umeenda.
Shida yote hiyo ya nini? Kwanini usichome sindano wanazochomwa vichaa ukaa ukatulia ukapiga kazi zako kama roboti, ukajiletea maendeleo yako mwenyewe Kama nchi za magharibi? Shida gani.
Wanawake wajanja siku hizi hutumia sindano za vichaa Ili kujiepusha Na kupata hisia zozote za kimapenzi, yani kifupi Ni kwamba ukichoma hiyo sindano mwili wako unakuwa hauna hisia za kimapenzi kabisa.
Kwa mana hiyo hutokuwa Na mawazo ya hapa Na pale kuhusu mapenzi, Na utakuwa upo active Kama machine guns katika kazi zako, so wakeup please acheni kulia Lia mnalilia mapenzi mnatia kinyaa ati, badala ya kulilia pesa.
Na ufalme WA mbinguni nyie mnalilia wala viepe, mapenzi kwa bongo bado kabisa, fix Tu asubuh, fixes mchana fixes usiku, shida gani???? Choma sindano weka mwili wako Kama chuma