bongenyo
Member
- Aug 2, 2016
- 50
- 31
Habari?
Jaman hivi inakuwaje mwanaume kakuoa, ila hajawah fikiria kukununulia mahitaj yako kama mavazi na vingne muhmu kwa mwanamke, au ukimuomba hela anakasirika pengne msiongee hata week nzima.
Ila sasa yeye anajijali mwenyewe, kama mavazi atanunua yeye kama yeye, kwa kifupi anajiangalia peke yake.
Kiukwel nashndwa kumuelewa, hivi huyu anafaa kweli kuwa mume au?
Embu nisaidieni.