Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi wakuu, mke wangu kulia sana mpaka majirani wanatoka kutusikiliza usiku nifanyeje yani analia sana. Anakuwa kama namjeruhi vile hata sielewi kabisa. Mpaka mizuka huwa inaniishia kabisa...
7 Reactions
115 Replies
20K Views
Wakuu salamu, Nimeona niilete hii kuna mama alifanikisha mimi kupata scholarship ya kusoma second degree nje ya nchi. Ni mama msichana lakini yupo na miaka 37 wakati mimi nikiwa na miaka 28...
7 Reactions
117 Replies
17K Views
Wasaalaam wanajukwaa, Kichwa cha habari cha jieleza, hata vitabu vitakatifu vimeeleza umuhimu wa kutoa au kupeana zawadi kwa wapendwa. Zawadi ni nzuri, zinaweka hali fulani ya mpewa zawadi...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...............................................! Wana JF, Kuna mambo tukiambiwa, si kutufurahisha au kutukana bali ni vile ukweli jinsi ulivyo, kupitia mnyama...
8 Reactions
31 Replies
7K Views
Helloooooz guys Nawamisije mnaendeleaje na maisha kiujumla je jana kuwa watu WALIPATWA nini tuambiane hapa mabestito Leo nakuja na SOMO lisemalo USIFALL IN LOVE KWA KITU USICHOKIONA ATI? Kitu...
10 Reactions
88 Replies
7K Views
Najua umechoshwa kumuona yule mwanamke mrembo ambaye unapishana naye kila siku aidha ukiwa nyumbani, kazini, shuleni ama hata katika ule mkahawa maarufu ambao unapenda kutembea kila wikendi bila...
5 Reactions
101 Replies
68K Views
Salaaam wanajukwaa. Natumai kuwa mu wazima. Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza, nimejikuta nikiingia matatani kutokana na baba mwenye nyumba kugundua kuwa namgegeda mwanae. Hiyo ni baada ya miezi 8...
7 Reactions
180 Replies
22K Views
Kuna wamama wengine wana kila hitaji katika maisha,anaweza kuwa na pesa kuliko mwanae,hivyo hata ukimpelekea pesa inakuwa kama sio "msaada" kwake.Wengine wamejitosheleza kwa mavazi na malazi hivyo...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Nimeshaumizwa sana kimapenzi kiasi cha kuamua kuachana kabisa na haya mambo ila nahitaji tu kuzaa Kwa sasa mana umri ushaanza kunitupa mkono. Naomba mwanaume aliyetayari kunizalisha ajitokeze...
14 Reactions
202 Replies
19K Views
Wazima wanajamvi, Ninamdogo wangu anatabia za ushoga ingawa mimi naishi naye mbali niliambiwa tu jamaa zangu ambao wanaishi naye. Nilimpigia simu kwa lengo la kumkanya hiyo tabia lakini jibu...
0 Reactions
67 Replies
14K Views
Nimempa mimba binti mmoja jina tumpe Chausiku.Tatizo dini, siye tunapendana sana na yeye binti yupo tayari kuja upande wa dini yangu. Upande wa kwao unakaza hawataki mtoto wao aje upande wangu...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari wana JF. Kwa kipindi kirefu ninapolala usiku ikifika saa tisa au kumi lazima nishituke na kujikuta uume wangu umesimama barabara na uko strong to the extent hata mishipa sometimes nahisi...
1 Reactions
0 Replies
937 Views
Akiwa anataka nyuma au anakuomba ,tight clothes (tight shirt,tight jeans ).gym(mazoezi yanayozidi kipimo remember they take shower there,usafi ( mwanaume akiwa msafi kupindukia ),best friend...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya kushangazwa na wanawake karibia wote hapa mjini kuwa na chura kwa siku za karibun ilibid nianze kufanya utafiti kama kweli ni vyura original. Kwa mawazo yangu na nilidhan wanaweka zile...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
a
4 Reactions
101 Replies
9K Views
Jana nilizaliwa yani nina furaha isiyoelezeka siwezi elezea hyo story ila i wish ningekuwa na mtu truth worth tukae mahali tusherekee leo jioni bill zote kwangu maana mkipigwa mizinga mnaliiia...
1 Reactions
63 Replies
5K Views
Jamani tunaelekea wapi,nimetoka kupokea simu ya Shemeji mtarajiwa,GF wa mdogo wangu akilalamika kuwa mchumba wake(mdogo wangu) kamzaba vibao ofisini ,ni hii siyo Mara ya kwanza kutokea,tumesikia...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Miezi michache iliyopita niliwahi kuomba ushauri juu ya binti niliyempa mimba. Nilizingatia ushauri w kwenda kuonana na binti na hatimaye kumwona mtoto. Mtoto kanifanana kidogo hasa paji la uso...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu, Mimi ni mdada natamani kuingia katika ndoa hivi karibuni,nina mtu wangu lakini hatujatambulishana bado kwasababu bado natafakari niamue kipi. Kinachonisumbua ni kuwa tunakaa mikoa...
5 Reactions
84 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…