Ngumi zinapigwa wakiwa bado wachumba

Ngumi zinapigwa wakiwa bado wachumba

shonkoso

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
724
Reaction score
1,526
Jamani tunaelekea wapi,nimetoka kupokea simu ya Shemeji mtarajiwa,GF wa mdogo wangu akilalamika kuwa mchumba wake(mdogo wangu) kamzaba vibao ofisini ,ni hii siyo Mara ya kwanza kutokea,tumesikia Mara nyingi nimeongea na dogo anahidi kutorudia but haiwi hivyo,bad enough uhusiano wao umeshatambulika pande zote mbili,na huyu Shem anadai,BF wake anamambo mazuri mengi kasoro hili la mkono mrefu,naenda kushariana nao jumamosi hii,so please if you got a similar experience or any relevant advice your welcome,
 
Kamzaba vibao ofisini?
sasa yeye alienda kufata nini kazini?? Au haujui wajibu wake??? Maybe amezidi kumfatafata
 
Jamaa yupo sahihi,, maana kama atavumilia hilo sasa hivi, hata ndoani atavumilia,,
 
Kamzaba vibao ofisini?
sasa yeye alienda kufata nini kazini?? Au haujui wajibu wake??? Maybe amezidi kumfatafata
Anadai binti aliitwa kuna maagizo alikuwa anapewa
 
mazoea hujenga tabia, mwambie mdogo wako akiendekeza iyo tabia jela itamuita aache mke analiwa na wanaojua kupet ishu za kupiga mwanamke nowadays hazivumiliki c kama zaman na mitandao ilivyomacho atafurahi siku na show siku moja
 
Kama hana heshima apigwe tu hamna namna..
 
sa jaman kelbu moja tu kaja kusemelea kwel mura........
 
Jamani tunaelekea wapi,nimetoka kupokea simu ya Shemeji mtarajiwa,GF wa mdogo wangu akilalamika kuwa mchumba wake(mdogo wangu) kamzaba vibao ofisini ,ni hii siyo Mara ya kwanza kutokea,tumesikia Mara nyingi nimeongea na dogo anahidi kutorudia but haiwi hivyo,bad enough uhusiano wao umeshatambulika pande zote mbili,na huyu Shem anadai,BF wake anamambo mazuri mengi kasoro hili la mkono mrefu,naenda kushariana nao jumamosi hii,so please if you got a similar experience or any relevant advice your welcome,

Haya mambo watoto ujifunza kwa Wazazi wao, kama BABA yako alikuwa anamnyuka Mama yenu mbele yenu na mtoto amerithi tabia hiyo kuacha itakuwa ngumu, Inabidi wote wajitahidi kusaidiana kuepusha hayo.
 
Jamani tunaelekea wapi,nimetoka kupokea simu ya Shemeji mtarajiwa,GF wa mdogo wangu akilalamika kuwa mchumba wake(mdogo wangu) kamzaba vibao ofisini ,ni hii siyo Mara ya kwanza kutokea,tumesikia Mara nyingi nimeongea na dogo anahidi kutorudia but haiwi hivyo,bad enough uhusiano wao umeshatambulika pande zote mbili,na huyu Shem anadai,BF wake anamambo mazuri mengi kasoro hili la mkono mrefu,naenda kushariana nao jumamosi hii,so please if you got a similar experience or any relevant advice your welcome,
Huyo dogo n mkulya? Au
Kama sio bas mwambie mwanamke apigwi kwa konde bali kwa maneno matamu
 
Jiulize haya maswali; Je mdogo wako huwa ni mkorofi? Kama jibu ni ndio bhasi hiyo hali huenda isiishe leo wala kesho ila tu ujiandae kuwa msuluhishi wake siku zote, japo unatakiwa kumshauri jinsi ya kutumia maneno na sio kipigo.

Swali la pili, Je mdogo wako ni mpole ila huenda ana historia ya kuwahi kunyanyaswa hasa kudharauliwa katika mahusiano aliyowahi kupitia? Muulize akuambie ukweli maana huenda mahusiano mabaya aliyopitia yanamfanya kuhisi kila mwanamke anamdharau na hivyo suluhisho pekee analoona anapokosewa na GF wake ni kumchapa makofi.

Swali la tatu, Je huyo GF Wake anachangiaje kudundwa ngumi na mdogo wako? Kwa mfano; niliwahi kuambiwa na GF wangu kuwa nimdunde tu yaishe kuliko kumuacha maana nilimkamata na sms za uchepukaji (nilimshangaa sana yule dada ila nilipokua nilijua ndivyo wanawake walivyo).

Mwisho mpe ushauri mchungu kuwa kama anaona huyo dada anamsumbua bhasi waachane kwa amani kabla ya kuingia Jiulize haya maswali; Je mdogo wako huwa ni mkorofi? Kama jibu ni ndio bhasi hiyo hali huenda isiishe leo wala kesho ila tu ujiandae kuwa msuluhishi wake siku zote, japo unatakiwa kumshauri jinsi ya kutumia maneno na sio kipigo.
 
Japo siungi mkono kitendo cha kumpiga mwana mke lakini mtu hawez akaanza kukupiga tu.
Nenda kwanza ukasikilize na upande wa mpigaji. Usikute anayepigwa mwenyewe ndio jeuri hasa hata wakiachana atapigwa na yeyote yule watakaye kuwa naye kama yeye ndo jeuri.
Si kila anaye piga hana sababu
Wasikilize wote alafu upime.
 
Ndo vizur ili ajue tabia ya mumewe kabisa ata akiingia kwenye ndoa anatakiwa awe makini nini mume hataki ili asile makofi
 
Kwa utawala huu wapigwe tu maana hamna namna nyinyingine!
 
Back
Top Bottom