Dogo1
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,356
- 580
Habari wana JF.
Kwa kipindi kirefu ninapolala usiku ikifika saa tisa au kumi lazima nishituke na kujikuta uume wangu umesimama barabara na uko strong to the extent hata mishipa sometimes nahisi Kama vile inauma. Suala langu Kwa wenye upeo na hali kama hiyo;
1. Kwa nini hali hii hunitokea usingizini muda huo hatimaye kunistua?
2. Hali hii inasababishwa na nini Kwa sababu inanitokea almost siku zote?
3. Jee, hii ni dalili ya afya njema hasa kwenye eneo hilo nyeti au Nina tatizo kwenye eneo hilo?
4. Kama ni tatizo ni nini cha kufanya?
Note. Hali hiyo ikinotokea nikiwa home lazima nimuamshe mama yeyoo ili nikandamize na kiukweli inanoga kweli kweli baada ya maruerue ya usingizi kuisha dakika chache baada ya zoezi kuanza. Inaponitokea nje ya himaya yangu inakua mtihani, somtimes nikioga hasa maji ya baridi baada ya muda hii nyeti inarudi katika Hali yake ya kawaida.
Nawasilisha