Naanza maisha mapya na mtu mpya

Naanza maisha mapya na mtu mpya

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,882
Jana nilizaliwa yani nina furaha isiyoelezeka siwezi elezea hyo story ila i wish ningekuwa na mtu truth worth tukae mahali tusherekee leo jioni bill zote kwangu maana mkipigwa mizinga mnaliiia sana kaka zetu.

Nilishafanya makosa makubwa sana huko nyuma, ila Mungu yupo anasamehe hata mimi nimejisamehe hata wote walionikosea nimewasamehe na niliowakosea hata kama sijawafata kuomba wanisamehe nimeamini wamenisamehe natamani nisirudie tena makosa ila mimi ni mwanadamu tumeumbwa kukosea ila nitajitahidi sana kuwa mtu mwema.

Naombeni marafiki zangu hapa mniombee baraka katika maisha haya mapya mwezi wa kumi nitakuja kutafuta mpenzi huku najipanga kwanza, maana mahusiano inatakiwa uwe na muda nayo sio sehemu ya kuchezea kama unajijua una miaka 35-90 mwezi wa kumi nitafute kwa urafiki usio na mashaka ila usiwe na mke /mtalaka tafadhali labda mke awe amefariki.
 
labda mke awe amefariki

Je kama kafariki kwa gonjwa hatari la kuambukiza lisilo na tiba wala dawa😉
 
Miss natafuta kama mwanaume mwenye kuwajua viumbe nyie unasumbuliwa na saikolojia ya kuhudhuria harusi nyingi za wenzio huko wewe yako haitimiii

Sasa upo katika hatua unayopokea maswali wewe lini
 
Over age wewe kama unatafuta 35+ lazima ulisha haribu sana!
 
Back
Top Bottom