Mke wangu analia sana wakati wa tendo

Mke wangu analia sana wakati wa tendo

Ukback255

Senior Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
174
Reaction score
278
Hivi wakuu, mke wangu kulia sana mpaka majirani wanatoka kutusikiliza usiku nifanyeje yani analia sana. Anakuwa kama namjeruhi vile hata sielewi kabisa.

Mpaka mizuka huwa inaniishia kabisa natamani kushuka halafu nikishuka anaanza kucheka sasa unakaa unajiuliza naumivu gani hayo wakati muda huohuo anacheka muda huohuo analia.

Ushauri wenu wakuu maana napata aibu kweli asubuhi ninapokuwa natoka nje kwenda job watu wakiwa wamekaa nje.
 
Back
Top Bottom