Usifall in love kwa kitu kisichoonekana

Usifall in love kwa kitu kisichoonekana

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Helloooooz guys

Nawamisije mnaendeleaje na maisha kiujumla je jana kuwa watu WALIPATWA nini tuambiane hapa mabestito

Leo nakuja na SOMO lisemalo USIFALL IN LOVE KWA KITU USICHOKIONA ATI?
Kitu hujakiona kama kiko sawa au chongo wewe tayari kimekutoa roho unakitamani kuwa nacho
wanawake na wanaume jamani usipende wala kutamani kitu ambacho hujakiona wala hujakisia
badala yake unaona id au avatar ya mtu hapa basi inakutoa roho na kuanza kusarandia wakati
wala hujaona mpaka unaweka ahadi ya makutano yenu, Kibaya zaidi pale mnapoweka appointment na huyo uliyemshobokea jf mkutane aiseeee unaona kupatwa kwa huyo uliyemfall in love kumbe ndivyo sivyo ulivyodhania.

nawapa tahadhari wapendwa wangu usiwe mwepesi kufall kwamtu usiyemwona jamani unajipotezea muda cha kufanya wewe pambana na maisha huyo unayefall in love atakuja kwa wakati wake acha kusumbuka na watu wa mitandaaoni watakupotezea muda bure bestito, huu
ni ushauri tu nawapeni maana hapa nimeona thread kibao watu wansema wamefall watu wa humu kuja kukutana nao vituko vya alinacha sasa kwanini ujipe matumaini yasiyona uhakika mabestito wangu kwani huko uliko hawako? sio kwamba nawakataza msitafute humu bali nawapa angalizo
usione avatar ukadhani ndiye kumbe siye. watu wanajiwekea tu hizo hapa wapendwa
ukitafuta mwombe Mungu atakuonesha nawe utapata furaha kwa kile kitakachokuja.

Nawatakieni mema kwenye shughuili zenu na maendeleo yenu


Wasalaamu

Ladyf
 
We kama unae wako tulia nae wacha vijana wajitwaalie vijifichavyo nyuma ya kioo, usiemwona ni mtamu ati ukimkuta ndiye, dare it bila shaka hutajutia
 
Mwanangu stunter unajulia sana haya mambo utakuwa na phd ya jinsia na ndoa
 
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ina maana machi 17 2014 ulipojiunga nilianza kukuvutia makubwa
 
Penzi ni kikohozi kulificha huliweeziiii.... naimba tu kwa sauti
hilo penzi kikohozi kwa imaginations tu dah maana unakuwa unategemea nayempenda yupo ivi, yupo vile, siku unamtia machoni unajidharau unatamani ujinyonge ptuuuuu
 
Back
Top Bottom