Akiwa anataka nyuma au anakuomba ,tight clothes (tight shirt,tight jeans ).gym(mazoezi yanayozidi kipimo remember they take shower there,usafi ( mwanaume akiwa msafi kupindukia ),best friend ambaye anamdhamini kuliko mkewe, anapenda kuvaa nguo Za kike .Anakung 'an g'ania sana anakuintroduce kwa rafiki Zake one week baada ya kuwa wote.Hana interest na sex (Kama ni mume Kama anataka nyuma tu ujue ndio hivyo)muwe waangalifu jamani.wengine wanaoa as cover up au wawe na watoto