Usafi katika mahaba

Usafi katika mahaba

Mtu akiwa mchafu ukimuacha bila kumwambia haita kuwa suluhisho, mwambie na msaidie ajirekebishe
[HASHTAG]#makavulive[/HASHTAG]
Itategemea Si Unajua Hadi Mtu Kuzungumza Na Kutufikishia Ujumbe
 
Umewasaidia wengi mana kuna wengine miili yao kama wanaloweka kwenye maji tu..kingine watu wajifunze kuchagua aina za perfume unapokutana na mwenzi wako mana wengine sijui wanajipulizia za chooni au wafu hadi inakuwa tafrani mtu unapatwa na mafua usiyoyatarajia
 
Ndo kupenda huko ni pamoja na kukosoana
Japo hata mimi kukosolewa huwa nakupokea ki ugumu sana , ila huwa namsifia yoyote anaye jikaza na kunikosoa
 
Umeonaaeee
 
Mi napenda sana kukosolewa [emoji3] [emoji3]
 
kijasho camp
kula lazima kuoga hiyari
Halafu we Mo11 nlikua nimepanga nikuchague kwenye ule Uzi lkn ushanikatisha tamaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom