KORBOTO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,848
- 2,447
Wasaalaam wanajukwaa,
Kichwa cha habari cha jieleza, hata vitabu vitakatifu vimeeleza umuhimu wa kutoa au kupeana zawadi kwa wapendwa.
Zawadi ni nzuri, zinaweka hali fulani ya mpewa zawadi kujiona ana upekee fulani, mwenye thamani na wa maana sana katika maisha haya.
Hili suala lilikuwepo tangu tangu, ila kadiri muda unavyokwenda tumelibadilisha maana sana (kwa mtazamo wangu lakini), kuna kule kulazimishana kutoa ama kupewa zawadi, kuchagua zawadi.
Wengine wamefika mbali na kufikia hatua ya kuzikalia kikao zawadi walizoletewa birthday zao na kuwathaminisha waliowalowaletea kutokana na thamani halisi ya zawadi.
Je, zawadi hasa ni nini? Kile unachokiona ni kizuri wewe ndo umpe mtu? Au kitachompendeza? Kile ambacho hana ndo umpe? kumsaidia maisha ya kila siku?
Ningependa pia mchangie kwa kutoa mifano, uliwahi kupewa nini ukafurahi sana, unahisi ukipewa nini ndo utafurahi?
Note, walengwa wanaweza kuwa ni wapenzi, marafiki, ndugu, wazazi nk
Changia freely, usijilimit kujibu swali lolote, we eleza tu chochote unachohisi kuhusiana na zawadi.
Karibuni