Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana ambao damu bado inaachemka wanaopenda kutumia sana ile kitu inaaitwa dawa ya kuongesa nguvu sa kiume. Watu hao wamekua wakienda maduka ya dawa au pharmacy kununua...
Wapendwa wana JF,
Naomba msaada wenu.
Nimekuwa nikisumbuliwa na ndoto za mapenzi pindi ninapokuwa usingizini. Nina mwaka sasa tangu niachane na mpenzi wangu sijashiriki mapenzi lakini hivi...
Kuna jambo huwa linapigiwa chapuo sana.Lakini msingi wa jambo hili unaonekana umekaa kishabiki,mpaka ikapelekea lengo kupotea na kuwaathiri sana wanawake.
Katika jamii kwa ujumla na katika...
Ulizaliwa ukakuta baba yako anawake zaidi ya mmoja au umekua umeona kwenye familia yenu Kuna mtoto wa mama mwingine zaidi ya mama ako, tena maisha yalikuwa simple tuu hakuna simu wala shopping...
Yaani kuna mdada kanitumia meseji juzi anataka ushauri nimebaki nimeduwaa sina la kusema kabisa. Ninachoweza kusema ni kuwa sasa nina uhakika wa ule msemo wa wahenga kuwa Kupenda Upofu. Hebu na...
Mjukuu wangu, sasa naona umekua mtu mzima. Kuna mambo ya muhimu kutambua. Unajua kuna mabadiriko mengi ktk mwili wako, kwa muonekano na mengine sio kwa muonekano wa nje. Kuna kitu nimewahi kusikia...
Mwanaume mwenzangu utafanya nini utakapogundua ya kwamba mpenzi/mchumba/mke wako alikuwa anakuficha halipwi mshahara wala marupurupu yoyote? Nikielezea vizuri hapa ni hivi kua mwanaume mwenzangu...
Nimeamua kutoa ushauri wangu kwa wanaume wenzangu juu ya namna ya kujiongezea ufahamu juu ya mambo mbalimbali ya ulimwengu na walimwengu, hasa wale viumbe tata waitwao wanawake. Mwenzenu...
Salam,
Jamani naombeni mnisaidie,
Nipo kwenye ndoa ya miaka miwili na nampenda sana mume wangu, sasa si zamani wifi yangu mdogo alinihadithia love story ya mume wangu aliyodumu nayo miaka hadi...
#Aisee_nimekuja_kugundua
hii nyimbo ya Salome ina matusi tena ya mwendo kasi
Hasa ka reyvanny
Kwanza anaanza kama anamsifia mwanamke eti
"kioo hakidanganyi mama umejipodoa umepodoka, mwendo na...
....Amini maneno yangu,ebu jaribu kuwazia kipindi mnaanzisha uhusiano na mpenzi wako,mara ya kwanza huwa inacost saana,ghrama sio ktk matumizi ya hela au muda,vitu kama kujenga uaminifu baina...
Habari,
Nimepata recommendation ya kujaribu JF ili kutafuta rafiki wa kike.
Mimi ni kijana, mwenye wa kadri ya miaka 30, nafanya kazi Dar, na nitapendelea kupata msichana/mwanamke anayejielewa...
...NAKUMBUKA...
Psalm 37:25 “I was young and now I am old, yet I have never seen the righteous forsaken or their children begging bread.”
…IDM Mzumbe…
Nakumbuka enzi za Mwalimu! Wakati huo...
Jamani nisaidieni,
Huyu wife wangu nampenda ila mara nyingi namkuta uchochoroni watu wamebambia, nimesema mpaka nimechoka ila nashindwa kumuacha kwakuwa ni mnyenyekevu sana kwangu na mpiganaji...
Mimi napenda kuishi bila mke au mtoto (child by blood) hivyo napenda kuzijua changamoto kuhusu hili.Moja kati ya changamoto ni kuzuia hisia za kimapenzi ambazo nimefanikiwa kuzizuia kwa 65% kwa...
Kama swali lilivo.Na lisemavyo.
Je mwanaume kubadili jinsia kuwa wakike atapata hedhi kama wapatavyo wanawake?
Mfano mkenya huyu.
HAPO AWALI.
ALIBADILI JINSIA NA KUWA WAKIKE.
Chanzo ya hizo...
Sijui kwanini wanawake wagumu sana kuelewa mke wangu aliondoka nyumbani na kumwacha mtoto wetu wa kiume wa miezi 6 akilia.
Dada wa kazi akambembeleza weeee hakunyamaza akamwimbia hakunyamaza...
Wapenzi wa jamii forum nakumbuka mwaka juzi rafiki yangu alinishirikisha ugomvi wake na mkewe walibahatika kupata watoto wawili aliponiambia amegombana na mkewe na baada ya ugomvi ule mkewe...
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi,,,.
1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty.
2. Ukimpata genius...yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic , hawajipendi...