GOLDGREEN9
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 351
- 218
Mimi napenda kuishi bila mke au mtoto (child by blood) hivyo napenda kuzijua changamoto kuhusu hili.Moja kati ya changamoto ni kuzuia hisia za kimapenzi ambazo nimefanikiwa kuzizuia kwa 65% kwa kufanya yafuatayo;
1)Kufanya tahajudi.
2)Kushughulisha ubongo kila wakati katika analysis mbalimbali za kutatua. matatizo katika jamii.
3)Kuangalia filamu za kunifurahisha (mind relaxation)
Napenda kujua njia nyingine pia!