Wanawake ni wagumu sana kutuelewa!

Wanawake ni wagumu sana kutuelewa!

Mfyatuaji

Senior Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
101
Reaction score
84
Sijui kwanini wanawake wagumu sana kuelewa mke wangu aliondoka nyumbani na kumwacha mtoto wetu wa kiume wa miezi 6 akilia.

Dada wa kazi akambembeleza weeee hakunyamaza akamwimbia hakunyamaza akaamua kutoa nyonyo zake na kumpa mtoto mwanangu akanyamaza pale pale akiwa
anamnyonyesha mimi nikaingia nikamuwakia dada.

" Unataka kumuambukiza mtoto magonjwa? "Hapana baba hayatoi maziwa mimi nimempa tu anyamaze!!" . " kweli hayatoi?" nikaamua kuthibitisha nikamtoa mtoto na nikawa nanyonya Mimi. " ni kweli hayatoi.

Hebu hilo lingine! Nalo halitoi?. Mara wife kaingia nikamwambia kuwa nafanya uchunguzi wa nililolikuta hakuamini hebu niambieni wapi nimekosea? Kufuatilia afya ya mtoto ni kosa? Wanawake acheni hizo!
 
Hiyo ngumu kuelewa kulikua na haja gani unyonye si ungeacha mkeo arudi athibitishe mwenyw!
Btw kuweni makini na hawa wadada wa kazi
 
Sijui kwanini wanawake wagumu sana kuelewa. Mke wangu aliondoka nyumbani na kumwacha mtoto wetu wa kiume wa miezi 6 akilia. Dada Wa kazi akambembeleza weeee hakunyamaza. Akamwimbia hakunyamaza. Akaamua kutoa nyonyo zake na kumpa mtoto. Mwanangu akanyamaza pale pale. Akiwa anamnyonyesha Mimi nikaingia. Nikamuwakia dada. " unataka kumuambukiza mtoto magonjwa? "Hapana baba hayatoi maziwa Mimi nimempa tu anyamaze!!" . " kweli hayatoi?". Nikaamua kuthibitisha. Nikamtoa mtoto na nikawa nanyonya Mimi. " ni kweli hayatoi. Hebu hilo lingine! Nalo halitoi?. Mara wife kaingia.nikamwambia kuwa nafanya uchunguzi Wa nililolikuta. Hakuamini. Hebu niambieni. Wapi nimekosea? Kufuatilia afya ya mtoto ni kosa? Wanawake acheni hizo!

Mfyatuaji WEWE NI MCHOCHEZI kwenye NDOA🙂
 
uchunguz mzur sana huo, mama watoto akitoa povu sana unamwambia na yeye anyonye
 
bora tu ma dear cause ni shidaaaah, nilianza kusikia kutetemeka kwa ndani ya utumbo
I like your smile I like your vibe I like your style But that's not why I love you And I, I like the way You're such a star But that's not why I love you Hey Do you feel, do you feel me?
Do you feel what I feel, too? Do you need, do you need me? Do you need me?
 
Hahaha..mkuu mkeo ndiye huyo kakubeba kwenye avatar
 
I like your smile I like your vibe I like your style But that's not why I love you And I, I like the way You're such a star But that's not why I love you Hey Do you feel, do you feel me?
Do you feel what I feel, too? Do you need, do you need me? Do you need me?
yap yap yap yap,

i feel the way you feel baby, worylec
 
Mkuu, wewe ni msomi kweli kweli na kuanzia leo nakutunuku Phd ya heshma, ya kuwa mwangalifu kwa ufya ya watoto. Hongera sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom