Princess21
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 272
- 266
Wapendwa nisaidieni jamani maana mi nasema ukweli, natamani nisaidiwe ili nipone kwenye hili linalonisumbua.
Kiukweli sipendi kuchepuka, ila napenda sana maisha flani ambayo bila mchepuko siwezi yapata. Napenda extra sex, niliyonayo imenichosha nainjoy nikipata ladha mpya.
Nimefika mwisho wa kuchepuka, 16 good years nimekua kwenye aina tofauti tofauti za mahusiano.
Nimechokaaaaa, nataka nitulie sasa nifanyeje?