Tamama
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 887
- 1,107
Habari wakuu
Bila kupoteza mda nimekaa na kufikiria namna mapenz ya wasichana na watu wazima yanavyoshika kasi nikawaza hivi ulishawahi kuujua mchepuko wa mshua wako?
Ulipata reaction gani baada ya kujua pengine ni kijana mwenzio au ni kimeo ila tu baba ako hajui
Binafsi kipind cha nyuma bana mshua wangu aliwah kuwa na mchepuko ambae alitokea kupatana sana na mdogo wangu nafikiri sababu mdogo wangu hakumpendaga mama alieolewa baada ya mama etu kufariki
yule mchepuko ilikuwa bado nukta awe mama mwenye nyumba alivyomtekaga baba sasa siku me nakuja kumjua c kumbe kakicheche flan tu sema akiwa na mshua anavaa sura ya kondoo
nilihack chating zake moj tu na kahuni kenzie wanasifiana walivyopeana shoo za maana nikaforwad kwa mshua kidogo presha impande akamuachilia mbali, hanaga hamu na mie mpaka kesho tukikutana bahati mbaya atabadilisha njia