"Baby nina mimba yako" uliupokeaje ujumbe kama huu

"Baby nina mimba yako" uliupokeaje ujumbe kama huu

kaitamarogo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
461
Reaction score
496
Hebu tupeane uzoefu katika mapenzi yanapotokea maneno kama hawa huwa unajisikiaje. Huwa unayapokeaje? Baby nina mimba yako siku zangu sizioni.
 
Hebu tupeane uzoefu katika mapenzi yanapotokea maneno kama hawa huwa unajisikiaje. Huwa unayapokeaje?
baby nina mimba yako
siku zangu sizioni!
Mm bado sijabahatika kuambiwa hvyo
Ila nasubiria bnt anilopokee tuu
Maana hapo hapo ntaanza kupma hyo mimba[emoji23]
 
Mimi yangu haikuja hivyo ilikuja tofauti kidogo. Ilinishtua kidogo lakini siku hiyo hiyo nikafanya maamuzi magumu.
Aisee hakuna kitu kizuri kama kupata mtoto, ile feeling ya kukabeba kakakua unakaona haielezeki ni raha kuliko kufika kileleni.
Japo kuna ambao kwao ni kama msiba.
I am proud to be a dad.
 
Duuh its just an amaizing report and good 1 for sure..
 
She- Beib nina mimba yako..
I- Ok ngoja nipitie Pharmacy kwa sister J nikuchukulie Abortion pill au nikutumie hela ukaabort mwenyewe..
 
Kama Unaujauzito Wangu Basi Nitumie Kwa M-pesa.

Nilimjibu Hivyo.
 
Mimi yangu haikuja hivyo ilikuja tofauti kidogo. Ilinishtua kidogo lakini siku hiyo hiyo nikafanya maamuzi magumu.
Aisee hakuna kitu kizuri kama kupata mtoto, ile feeling ya kukabeba kakakua unakaona haielezeki ni raha kuliko kufika kileleni.
Japo kuna ambao kwao ni kama msiba.
I am proud to be a dad.
Good
 
Back
Top Bottom