Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni msichana mmoja mrembo niliyedate naye kwa malengo ya kumuoa. Nikikwambia mrembo jua mrembo kweli kweli, Wema Sepetu mwenyewe atasubiri sana. Sema tu hajapata kiki. Bahati mbaya sikuweza kumuoa...
4 Reactions
162 Replies
12K Views
Wapendwa natumaini wote mu wazima, Katika kupitia pitia mada mbalimbali humu jamvini, nimekutana na post hii ya muhanga ambayo imenifanya niwaze mengi kiasi cha kujikuta nachanganyikiwa na hivyo...
17 Reactions
325 Replies
24K Views
Nawasalimia wana JF. Hebu leo ngoja niongelee ka utafiti kangu nilikokafanya. Kwanza mimi ni mrefu wa wastani naweza kusema nipo na 180.3cm. Nimetokea kuwapenda sana wanawake wafupi. Kwanza hawa...
20 Reactions
159 Replies
38K Views
Habari zenu wakuu. kama kuna mdau ana namba zozote za kina dada poa jamani naomba anipatie hapa, p/se guys msaada wenu wadau.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Unaishi peke yako, na katika nyumba yako kuna stoo iliyoko uani ambapo ndipo unapotunzia vitu vyako mbalimbali. Mlango wa stoo yako huwa unaufunga kwa kufuli ambayo haihitaji kufunga na funguo...
4 Reactions
90 Replies
7K Views
......Bwana Magoti, mrefu kiasi na mweusi, anakuja kutupokea akiwa ameambatana na watoto wake watatu, wadogo; Happy, Eliza na Witi. Tulipofika nyumbani kwake, alitukaribisha kwenye banda la uani...
8 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari za wakati wanajamvi wenzangu, Natumaini mnaendelea salama na ujenzi wa Taifa. Kilichonipelekea kuandika huu uzi ni baada ya kufumania message za mapenzi kwenye simu ya mpenzi wangu. Mimi...
2 Reactions
135 Replies
23K Views
Salaam zenu wakuu, Mambo ya ndoa ni mengi mno kwa kweli ukiamua kuwa mtoto mtiifu kwa mke ni tabu ukisema uendelee na uzinzi bado ndoa haiwi na amani, sasa sijui mtu ufanyeje. Ni kama mwezi...
2 Reactions
128 Replies
17K Views
Niache nifanye kusudi, ikibidi nifanye kufuru, wanitangaze hata sana, kwani, mimi ninavyompenda, mwingine hakuna, kanifunga kamba, nitatimiza sunna, kaniganda-ganda, baridi hakuna, utundu wa...
3 Reactions
86 Replies
11K Views
Nawasalimia wana JF wote siku ya leo, Nimekuja leo tena katika mwendelezo wa maelezo mazuri. Unajua tukiwa marafiki kunavitu tunapashana na kuelezana ili hatimaye urafiki wetu udumu na uzidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini Wanajamvi!?? Kama Kichwa hapo juu kinavyojieleza. Siku hizi kumezuka tabia ya sisi wanaume kulia lia wengine wameenda mbali zaidi kwa kupiga mayowe na kunga huku na huko. Kiukweli jambo...
5 Reactions
101 Replies
10K Views
wakuuu tukiacha hali ya mazoea baina ya mke na mme ya kufanya usiku,ebu tuje kwenye uhalisia Assume unampenzi na ni mara chache kukutana nae, ikatokea mkakubaliana weakend mkutane ili mjivinjili...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wana JF, Tumaini langu ni wazima wa afya, kuna jambo nimejaribu kutafakari baada ya chunguzi zangu nyingi, nahisi ntakubaliana na mimi na japo watu wataopinga pia ila hili si...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakuu, Mimi ni kijana nilitokea kumpenda msichana tena kwa upendo wa kweli nina malengo ya kuishi nae hapo baadae kama mume na mke, lakini huyo mpenzi wangu ananizidi umri, ananizidi mwaka mmoja...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Kama ilivyo ada ya muungwana yeyote kwanza hutanguliza salamu, basi napenda kuchukua fursa hii niwasalimie wana MMU, Habari za siku ya leo na shikamoo kwa wale wakubwa. Pia nitoe pole kwa wale...
2 Reactions
13 Replies
12K Views
Kiukweli japo malalamiko mengi yanawahusu ukijirajibu kuangalia thread nyingi chanzo ni mwanamke kama kuna mmoja amerukwa akili sababu mwanamke amemuacha bila sababu na ilihali amemtoa mbali leo...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Kuna vitu vinanichanganya, mfano unakuta kijana anashinda kwenye kioo nae anajipodoa, kijana anapaka mkorogo, carolite n.k. Kijana anashinda gym eti anavuta mbawa six packs ili awachanganye...
23 Reactions
175 Replies
18K Views
Habar za jioni , kama ilivyoada nimekuja tena , hapa na kisa hiki, Tafadhalini msinichoke ndugu zangu ni katika kupeana tu mauzoefu mbali mbali ambayo kama mwanadamu huwa unapitia , na huwenda...
9 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari wana JamiiForums, Nimekuwa nikisikia kuwa kuvaa pete na shela wakati wa harusi ni kutenda dhambi, lakini pia kumekuwa na mafundisho mengi yazungumzayo uhusiano wake na dhambi, pamoja na...
0 Reactions
27 Replies
51K Views
Habari za Ijumaa, Pole na mihangaiko ya jua kali, Nimerudi kwa wanaume wenye ndoa, tunajua wanaume wengi michepuko ndo mambo zenu ila sasa zisifike hukuu. Nina rafiki yangu ameolewa na wana...
21 Reactions
311 Replies
20K Views
Back
Top Bottom