MR LINKO
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,034
- 3,588
Hapa mtaani kwetu kuna binti nimetokea ku mpenda sana na ni mzur kiasi ila nimejaribu kila njia kumshawishi lakini amengangania tu luwa ana mtu japo amekuwa namuona na kuhusu mahusiano yake sija maindi sana tatizo ni kuwa ananisumbua kwa msg kujua hali yangu na akinipigiasimu anaongea sauti ya chini sana kiasi kwamba mi akili ina ruka kupita kiasi.
jamani wana jamvi ushauri kuhusu huyu mtu nimpoteze au niendenae pole pole, maana mimi kiukweli nafasi kwa weekni juma pilli tu. na yeye hiyo siku ndo yuko bize kuliko.
jamani wana jamvi ushauri kuhusu huyu mtu nimpoteze au niendenae pole pole, maana mimi kiukweli nafasi kwa weekni juma pilli tu. na yeye hiyo siku ndo yuko bize kuliko.