Nahitaji dawa ya mwanamke kigeugeu

Nahitaji dawa ya mwanamke kigeugeu

Betason

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2015
Posts
389
Reaction score
712
salaam wakuu..

Ipo hivi, tangu niumizwe katika mahusiano nimekuwa mtu wa tofauti kidogo kwani nimewachukulia wanawake kama watu wasiokuwa na msimamo hasa linapokuja suala na mahusiano

sasa nimeamua kutokuwa na mahusiano kwa mda ili nifanye mambo mengine ya muhimu hasa kutafuta pesa najua hawa wanawake wapo tu.

kitika mishe zangu nakutana na wanawake wanaovutiwa na mm na wapo ambao wanadiriki kunipa mzigo bila hata mm kuwatongoza, wapo hawa ambao wanaonesha dalili kabisa kuwa wanataka dushe ila nikitengeneza mazingira wanaanza kuwa kigeugeu, mara atoe visingizio kuwa yupo mp mara aseme anaumwa, yan yeye mwenyewe kaja geto sijamuita alafu anaanza kuzingua,mwingne ye anasema anapenda romance tu

ebu nipeni dawa ya mtu kama huyu...sipendi ujinga mimi
 
Dogo wewe huna dini? Dini yako inasemaje juu ya tendo la ndoa na masharti na vigezo vya kumvua mwanamke nguo?
 
Wameisha kuona joka la kidisa wewe wamegundua haung'ati..!

Wengine siye blackmamba akatize karibu asipodonolewa atarushiwa ata mate..!
 
Ukiona mwanamke kaingia hadi geto afu hataki kukupa ujue kakutana na dosari imeondoa hisia zake..... Usikute hata geto linanuka viatu
Hahahahahha au kakutana na uvundo wa soks hahahha uwii
 
Huyo wa romance pia umemshindwa??? Loooh! Piga naye romance then yeye mwenyewe atadai mshipi.
 
Ukiona mwanamke kaingia hadi geto afu hataki kukupa ujue kakutana na dosari imeondoa hisia zake..... Usikute hata geto linanuka viatu
Geto lina full kiyoyozi kama a ngwea, ndo mana wanakuja wenyewe
 
Usiwe mkali, umekuja kuomba ushauri so tunajaribu kutrace chanzo cha tatizo
mkuu chanzo cha tatizo ni hicho hapo cha wao kuwa kigeugeu...sitaki nataka, kama ni ishu ya usafi nipo vzuri, game napiga mpk extra time..haya niambie sasa tatizo ni mm ama wao?
 
Back
Top Bottom