Wenye roho mbaya kumbe tupo wengi

Wenye roho mbaya kumbe tupo wengi

goodhearted

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
1,049
Reaction score
1,344
Kuna mtu katoa thread kuhusu kuwa na roho mbaya. naweza sema hayuko mbali sana na mimi japo kuna tofauti kidogo mi cfurahi sana kifo labda niwe nimethibitisha mwenyewe kuwa aliefariki ni hakuwa mtu mwema

lakini pia huwa cpendi kubabaishwa na nina hasira za karibu sana. Maadui wangu wakubwa ni waongo, wanafiki na wanaojiproud

Huwa nafikiri labda kwa kuwa nimekulia ktk hali ya mateso sana tena kutoka kwa bibi yangu mzaa mama pamoja na mama zangu wadogo. walinitesa na kunibagua sana kitu kilichopelekea kutohitimu elim ya msng

kwa msaada wa mama mzazi pamoja na step father japo nae alionesha kunibagua mwanzoni ila kwa kwa kuwa mama alionesha uimara wa kunisimamia niliweza kuendelea na masomo na nashukuru mungu nilihtm kdato cha sita na hv sasa nina kazi ambayo inanifanya nipeleke mkono knywani bila kumtegemea mtu yeyote

Baba yeye hana time na mimi pamoja na juhd za kumtafuta ili niwe karibu nae wakati ndo naingia fom five lakini hakuonesha ushirikiano wala upendo kwangu hakunisaidia kwa lolote. hivyo nimeamua kumpotezea kama vp tutaonana tu peponi endapo hatanihitaji tena

Simwamini mwanamke yoyote isipokuwa mama yangu tu. nampenda sana mama lakini nawachukia sana wanawake wengne

nina mtoto mmoja ila bado cjaoa na hi yote ni kwa sababu ya kutowaamini wanawake

kila ninaeanzisha nae mahusiano nikikuta ana akiri ya kiwaruwaru huwa cjiulizi mara mbili mbili nampiga chn mara moja

Naona bora niishi peke yangu kuliko kuwa na mtu atakaenipotezea furaha yangu

Mtu yoyote akionesha element za kunimistreat huwa namkwepa hata kbla hajatimza adhima yake, sioni shida kutoongea na mbaya wangu hata kama tunaish nyumba moja

so brother hauko peke yako tupo wengi na hii yote ni kwa sababu ya walimwengu.

Na sasa rafiki yangu wa karibu sana niliye nae ni jamiiforum pekee
 
Naamini ukitaka uishi vizuri na kwa amani, ni kusahau mabaya uliyowahi tendewa na kuendelea kufurahia mafanikio yako. Je, wewe haujawahi kuwatendea vibaya watu maishani?
 
Rudi kwa Mungu wako!

Ili uindoe chuki moyoni!
 
Wakumchukia ni mama yako mzazi, alipokuzaa hakutakiwa kukutupa kwa bibi yako na mama zako wadogo, angebanana na wewe mpaka utakapofikisha umri wa kujitegemea. Amesababisha unawachukia watu wasiyo na hatia, usipo acha chuki dhisi ya watu wanaokuzunguka, utakuwa na Maisha yasiyo nafuraha.
 
Kuna mtu katoa thread kuhusu kuwa na roho mbaya. naweza sema hayuko mbali sana na mimi japo kuna tofauti kidogo mi cfurahi sana kifo labda niwe nimethibitisha mwenyewe kuwa aliefariki ni hakuwa mtu mwema

lakini pia huwa cpendi kubabaishwa na nina hasira za karibu sana. Maadui wangu wakubwa ni waongo, wanafiki na wanaojiproud

Huwa nafikiri labda kwa kuwa nimekulia ktk hali ya mateso sana tena kutoka kwa bibi yangu mzaa mama pamoja na mama zangu wadogo. walinitesa na kunibagua sana kitu kilichopelekea kutohitimu elim ya msng

kwa msaada wa mama mzazi pamoja na step father japo nae alionesha kunibagua mwanzoni ila kwa kwa kuwa mama alionesha uimara wa kunisimamia niliweza kuendelea na masomo na nashukuru mungu nilihtm kdato cha sita na hv sasa nina kazi ambayo inanifanya nipeleke mkono knywani bila kumtegemea mtu yeyote

Baba yeye hana time na mimi pamoja na juhd za kumtafuta ili niwe karibu nae wakati ndo naingia fom five lakini hakuonesha ushirikiano wala upendo kwangu hakunisaidia kwa lolote. hivyo nimeamua kumpotezea kama vp tutaonana tu peponi endapo hatanihitaji tena

Simwamini mwanamke yoyote isipokuwa mama yangu tu. nampenda sana mama lakini nawachukia sana wanawake wengne

nina mtoto mmoja ila bado cjaoa na hi yote ni kwa sababu ya kutowaamini wanawake

kila ninaeanzisha nae mahusiano nikikuta ana akiri ya kiwaruwaru huwa cjiulizi mara mbili mbili nampiga chn mara moja

Naona bora niishi peke yangu kuliko kuwa na mtu atakaenipotezea furaha yangu

Mtu yoyote akionesha element za kunimistreat huwa namkwepa hata kbla hajatimza adhima yake, sioni shida kutoongea na mbaya wangu hata kama tunaish nyumba moja

so brother hauko peke yako tupo wengi na hii yote ni kwa sababu ya walimwengu.

Na sasa rafiki yangu wa karibu sana niliye nae ni jamiiforum pekee
Kwanza badili jina lako ili umaanishe jinsi ulivyo.

Pili, kuwa na roho mbaya sio sifa kiongozi, unaweza kudhani unawakomoa unaowafanyia roho mbaya ila kwa ulivyojielezea hapa ni kama unajikomoa mwenyewe.

Angalia sasa umezaa Mtoto ambae mama yake humtaki, umeshawahi kujiuliza maisha ya baadae ya huyo Mtoto?

Samehe yaliyopita uishi kwa amani rafiki. Amani ya moyo hujengwa na mwenye moyo.

Badili fikra acha kuishi kama uko peke yako duniani humu
 
Hivi mtu unaanzaje kujisifia kuwa una roho mbaya huo nao ni ujasiri wa kiscorpion
 
Wakumchukia ni mama yako mzazi, alipokuzaa hakutakiwa kukutupa kwa bibi yako na mama zako wadogo, angebanana na wewe mpaka utakapofikisha umri wa kujitegemea. Amesababisha unawachukia watu wasiyo na hatia, usipo acha chuki dhisi ya watu wanaokuzunguka, utakuwa na Maisha yasiyo nafuraha.
Wakumchukia ni mama yako mzazi, alipokuzaa hakutakiwa kukutupa kwa bibi yako na mama zako wadogo, angebanana na wewe mpaka utakapofikisha umri wa kujitegemea. Amesababisha unawachukia watu wasiyo na hatia, usipo acha chuki dhisi ya watu wanaokuzunguka, utakuwa na Maisha yasiyo nafuraha.

mkuu mama hana makosa yoyote ni kwa vile aliacha kazi kutokana na figisu za walimwengu nakumbuka nikiwa std 2 akaona ni bora niishi na bibi kwa huku nikiendelea kusoma na huku yeye anapambana kutafta kazi ingne. Hivyo ni bora ungexema wa kumlaum zaidi ni baba ambaye hakutoa ushrkiano toka nazaliwa mpaka nahtim high school
 
Kuna mtu katoa thread kuhusu kuwa na roho mbaya. naweza sema hayuko mbali sana na mimi japo kuna tofauti kidogo mi cfurahi sana kifo labda niwe nimethibitisha mwenyewe kuwa aliefariki ni hakuwa mtu mwema

lakini pia huwa cpendi kubabaishwa na nina hasira za karibu sana. Maadui wangu wakubwa ni waongo, wanafiki na wanaojiproud

Huwa nafikiri labda kwa kuwa nimekulia ktk hali ya mateso sana tena kutoka kwa bibi yangu mzaa mama pamoja na mama zangu wadogo. walinitesa na kunibagua sana kitu kilichopelekea kutohitimu elim ya msng

kwa msaada wa mama mzazi pamoja na step father japo nae alionesha kunibagua mwanzoni ila kwa kwa kuwa mama alionesha uimara wa kunisimamia niliweza kuendelea na masomo na nashukuru mungu nilihtm kdato cha sita na hv sasa nina kazi ambayo inanifanya nipeleke mkono knywani bila kumtegemea mtu yeyote

Baba yeye hana time na mimi pamoja na juhd za kumtafuta ili niwe karibu nae wakati ndo naingia fom five lakini hakuonesha ushirikiano wala upendo kwangu hakunisaidia kwa lolote. hivyo nimeamua kumpotezea kama vp tutaonana tu peponi endapo hatanihitaji tena

Simwamini mwanamke yoyote isipokuwa mama yangu tu. nampenda sana mama lakini nawachukia sana wanawake wengne

nina mtoto mmoja ila bado cjaoa na hi yote ni kwa sababu ya kutowaamini wanawake

kila ninaeanzisha nae mahusiano nikikuta ana akiri ya kiwaruwaru huwa cjiulizi mara mbili mbili nampiga chn mara moja

Naona bora niishi peke yangu kuliko kuwa na mtu atakaenipotezea furaha yangu

Mtu yoyote akionesha element za kunimistreat huwa namkwepa hata kbla hajatimza adhima yake, sioni shida kutoongea na mbaya wangu hata kama tunaish nyumba moja

so brother hauko peke yako tupo wengi na hii yote ni kwa sababu ya walimwengu.

Na sasa rafiki yangu wa karibu sana niliye nae ni jamiiforum pekee
wewe na huyo mwenzako wote machoko
 
Mama yangu mzazi uwa ananiambia nina roho mbaya lakini sijawahi kukubaliana naye uwa najiona normal kabisa.
 
nakushauri ukaishi huguruni[emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Chuki na kinyongo ni sumu iuayo polepole.Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.Hakuna aliye mkamilifu hapa duniani.
 
Back
Top Bottom