Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huu utafiti hauna ubishi Wanaume wanapokutana sita kwa sita na wanawake wenye matako makubwa,huwa hawatumii kondom Wanawake wengi wenye matako makubwa wanasema kuwa,katika historia yao ya...
28 Reactions
195 Replies
36K Views
Kupata namba ya simu ya demu ni mchakato hasa kwa wale wazee wa kujishtukia Juzi kati nikasafiri toka Dom kwenda Mwanza. Pembeni nina pis kali anashuka Buhongwa. Wote tulichangamka sana na...
7 Reactions
23 Replies
5K Views
Ndugu zangu wanaume dunia hii imejaa wanawake wengi. Hawa ni jukumu letu sisi wanaume kuwaoa, kuwawezesha na kuwanusuru na maswahibu wa dunia. Wanaume tuache woga tuwaoe, tuwapangie nyumba na...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna tabia pindi mwanaume anapojaribu kuelezea hisia zake kwa mwanamke baadhi ya wanawake Huwa yanawatoka maneno ya dharau, kebehi, matus. Jaribu kutumia lugha ya kawaida tu kama ombi lake...
26 Reactions
84 Replies
7K Views
Mjane mwenye umri wa miaka 45 ana watoto wawili anatafuta stara ya mchumba atakayefunga nae ndoa. Anahitaji mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 45 kuendelea, habagui kabila Wala rangi ila akipata...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu Habari za alfajiri? Misiba ni moja ya matukio yanayokutanisha watu mbalimbali,na wakati watu wanamsaidia mfiwa,kimazishi,kumriwadha nk lakini kuna wakati unaweza ukajikuta umempenda mtoto wa...
7 Reactions
15 Replies
895 Views
Unakuta jamaa kahonga gari kali hata la zaidi ya milioni 50 nashindwaga kuelewa akili za huyu mtu. Cha ajabu mamake hana gari wala babake wanahangaika yeye anampa demu. Yani kile kitu tu cha kati...
8 Reactions
58 Replies
5K Views
ISEE kiukweli mwenzenu nna majuto+furaha,kuna binti nilikutana nae katika harakati zetu vijana,mimi ni kijana ambae sijawahi kuoa japo ka umri kangu kanakaribia thirty,huyu binti sio pisi kali...
5 Reactions
61 Replies
3K Views
Shikamooni wakubwa zangu humu ndani. Mimi ni kijana wa miaka 19. Ninasumbuliwa na tatizo moja. Najiona kama vile nakua mwili tu lakini akili yangu bado ya kitoto. Ni kwa kipindi kirefu sasa...
11 Reactions
58 Replies
6K Views
Wiki ilopita nilialikwa kwenye sherehe flani ya kuzaliwa(b'day) ya kijana mmoja hapa mtaani kwetu.Huyu kijana ni graduate amemaliza chuo this year hajapata kazi bado. Niliskia tu story zake kuwa...
16 Reactions
176 Replies
37K Views
Habari wanajamii, Naomba niongee nanyi waume zetu jamani, hebu tulieni na wake zenu maana cha zaidi mnachokitafuta ni aibu na magonjwa. Nikiwa saloon (kama mnavyojua mambo ya saloon) wadada...
25 Reactions
137 Replies
12K Views
Habari zenu wanajukwaa, Direct to the point. Nina mpenzi wangu ambae tumedumu kwa muda wa mwaka mmoja na nusu. hakika katka muda wote huu tumepata kufahamiana na kujuana vema amepata kuyajua...
14 Reactions
263 Replies
18K Views
Arafa huyuu! Yaani nashindwa kuelewa kabisa. Katoto kazuri ka kirangi, kafupi kidogo, cheupe, nyuma kafunga mzigo, dabo kabini, kifurushi cha haja kimejaa si mchezo! Akipita lazima uvunje shingo...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Nipo Longido kwa Babu yangu Leo,ndo nipo nae hapa ananipa michapo kuhusu mahusiano hasa kwa sisi mavijanaa ukilinganisha na enzi zao back in dayz. Anasema hapa,Namnukuu "Enzi zetu wakati wa...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Tangu june 2019 mpaka hivi sasa. Nadhani unaweza kuniita player, ila kusema ukwel warembo wengi wanavutiwa na mimi. Mimi ni mtu wa viwanja sana, hivyo kwa kawaida napata one night stand si chini...
5 Reactions
88 Replies
10K Views
Kuna kijana nilikutana naye ana mvuto kwa kweli alikidhi vigezo vyangu vyoote nilivyokuwa naviitaji kwa mwanaume wa kuishi naye, lakn baada ya muda tukapanga muda wa kutikisa kabla ya kutumia...
45 Reactions
654 Replies
104K Views
Wasaalam. Wanabodi na wataalam wa mahusiano, inachukua muda gani kuingia kwenye mahusiano mengine mapya baada ya kuachana na uliekua katika mahusiano? Je, inashauriwa kuchukua muda gani kabla...
1 Reactions
150 Replies
9K Views
Mapenzi huwa ni matamu na yananoga sana iwapo utampata akupendaye nawe ukampenda kwa dhati. Ila mapenzi hugeuka na kuwa shubiri mara upande mmoja wa mapenzi unapofanya usaliti. Ni wengi wamepitia...
8 Reactions
111 Replies
26K Views
Wajameni WanaJF! Kila abiria achunge mzigo wake. Mdau kama una mpenzi au mke wako anafanyakazi ofisi fulani, kuwa makini na nyenendo zake za kila siku. Kuna taasisi moja inalipa vizuri wafanyakazi...
3 Reactions
70 Replies
10K Views
Wakuu mu hali gani? Nashukuru mie mzima wa afya. Kuna kisa nimekuwa nacho kwa muda mrefu, sikuwahi kushare humu. Niliandika kiufupi tu ila naona ni vizuri nikashare kwa ukubwa ili tupate...
105 Reactions
284 Replies
27K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…