Kwanini Arafa anikatae mimi tu?

MalcolM XII

JF-Expert Member
Mar 19, 2019
5,235
14,203
Arafa huyuu! Yaani nashindwa kuelewa kabisa.

Katoto kazuri ka kirangi, kafupi kidogo, cheupe, nyuma kafunga mzigo, dabo kabini, kifurushi cha haja kimejaa si mchezo!
Akipita lazima uvunje shingo.

Nilimtaka kwa muda mrefu sana, ila ananisumbua kichizi. Nikaja kusikia story kwa wadau kumbe wanajipigia tu. Wadau wanasema ni mimi tu ndo ananibania.

Tatizo ni kwamba hanipi nafasi nimpange, yaani anaruka ruka mno. Napata tabu sana kumshawishi huyu mchumba. Sijawahi kusumbuliwa na demu kiasi hiki.

Mnanishauri vipi wakuu kwenye hili.
 
Arafa Arafa Arafa

Nimekuita mara 3, achana na huyu mvulana anakuvua nguo mitandaoni.
 
Na ukiambiwa mwanamke anagawa Sana hata ukimfata wewe anakutolea nje ila wadau wengine wanajipigia tu,
Kwani unahela? Samahani lakini😂😂
Kama unazo utampata.
 
Na ukiambiwa mwanamke anagawa Sana hata ukimfata wewe anakutolea nje ila wadau wengine wanajipigia tu,
Kwani unahela? Samahani lakini
Kama unazo utampata.
Hela sio shida, ishu ni kwamba nikitaka tukutane nile mzigo ndio anakwepa kwepa..
 
Hii kitu ipo, manzi kicheche lakin ukienda unachezea cha mbavu tu.
Na umeenda na kaupendo kakubwa.
 
Yaezekana kakupenda hivyo anakuepushia na alo nayo.
Sa ingine waeza kuta dem anakugomea kumbe kakupenda anakujali anaogopa alo nayo yasikupate na wewe pia.
 
Back
Top Bottom