Je, wanawake wote wapo hivi au ni huyu wangu tu?

_ID

JF-Expert Member
Aug 15, 2019
5,409
7,399
Habari zenu wanajukwaa,

Direct to the point. Nina mpenzi wangu ambae tumedumu kwa muda wa mwaka mmoja na nusu. hakika katka muda wote huu tumepata kufahamiana na kujuana vema amepata kuyajua mazuri na madhaifu yangu na mm pia nmepata kujua yake.

Hakika nikiri kuwa huyu mwanamke ananiheshmu na kunitii.(naamini ananipenda pia japo siwez usemea moyo wake,lakn yy hunisisitizia kila mara kwamba ananipenda sana).HANA tabia za ajabu ajabu kama vile kuomba pesa(wanawake wengi wa kileo usipowapa pesa basi sahau kuhusu kupendwa,lakn yy hayuko hvo.), ulevi, dharau, ubinafsi. Na nikiri tu kwamba huyu ndo mwanamke wa kwanza kudumu nae katka mahusiano kwa mda mrefu kwa sababu nakumbka wanawake wengne wote nliowah ku date nao tulikuwa tukidumu sana bas n wiki tatu tu.

Sababu kubwa ya kutodumu ni dharau, kujiona classic na kuomba omba pesa.miaka ya nyuma kuna sku nlikuwa namtongoza msichana fulan wa kanda ya kaskazini nadhan mnawajua vile wako na sura mzuri yaan they are really cute, katka convo akajichanganya kuomba pesa asee pale pale nilifuta namba yake na kuendelea na mishe zangu. mm nina allergy na mwanamke mwenye dharau na anaeomba omba pesa hata awe mzuri kias gan yan hisia huwa znakata ghafla kama vile wajumbe walivokata majina ya watia nia.

Back to the point; huyu mpenz wangu amekuwa na magonjwa mengi mengi yasiyoisha mpaka nawaza je nikiingia nae kwny ndoa si ndo ntachoma pesa zote kumuuguza? Ana pumu, maumivu ya tumbo, maumivi ya kichwa, homa za kila week, Macho yanamsumbua.

Akilala asubuhi anaamka kachanjwa chale, (sometime anachanjwa hata akiwa macho ila anaemchanja hamwoni),akitembea sana anavimba miguu hata kama ni zile route za town tu. (Ashawahi kuja kwangu akakaa mwezi mzma kwa hyo nlishuhudia haya magonjwa kwa macho yangu) Yaan ukituma sms ya salamu "mambo" tegemea reply ya "kichwa kinaniuma" mpaka unachoka kumpa pole kila sku.

Sasa kila sku amekuwa akiniuliza Dany hv kwel utanioa? huwa namjibu tu Ndio ili kumridhisha.sasa mm nko njiapanda hapa je niendelee kuwa nae au nimwache tu kiroho safi nisimpotezee mda wake. Ikumbukwe kuwa huko nyuma nshawahi kumwacha kama mara mbili hv bila kosa lolote asee alilia mpaka nikamwonea huruma nikamrudia.

Naomben ushauri wenu je huyu mwanamke nikimuoa tutafanya maendeleo kweli au ndio nitakuwa nimejipa kibarua cha kumuuguza?
 
Kichwa kuuma kila siku haimaniishi utoe pole
Toa pesa ya dawa' hospital'
Sisi tuna njia nyingi ya kuomba pesa aisee
Sio lazima niseme naomba kias fulani ' la hasha naweza kwambia nàjihisi homa ujiongeze utoe pesa hata ya hospital '
Ss unampa pole kila siku hizo pole zinaponesha?

Kama moyo wako unawasiwasi nae muache mtt wa watu aende maana hata huduma unamdhulumu
 
1. Magonjwa kama pumu huwa ni ya kurithi. Tegemea nao watoto nao usishangae wakawa nayo.
2. Kwa hiyo wewe hakuna kumpatia mwanamke wako hela?. Hata kama hana kumuingizia kipato?. Mbona kama utaacha sana wanawake au hutaoa kabisa.

Vinginevyo tafuta mwenye kazi yenye kipato cha kutosha,ili asikuombe hela,nae tegemea dharau kubwa kama amekuzidi kipato. Kwa hiyo chagua wa kukuomba hela lakini akuheshimu au mwenye kipato,mlingane ndani. Ndio maisha yako hivyo
3. Vipi lakini kuhusu uzuri wake,hujatueleza wadau ili tukupe point. Chura ipo?
 
1. Magonjwa kama pumu huwa ni ya kurithi. Tegemea nao watoto nao usishangae wakawa nayo.
2. Kwa hiyo wewe hakuna kumpatia mwanamke wako hela?. Hata kama hana kumuingizia kipato?. Mbona kama utaacha sana wanawake au hutaoa kabisa. Vinginevyo tafuta mwenye kazi yenye kipato cha kutosha,ili asikuombe hela,nae tegemea dharau kubwa kama amekuzidi kipato. Kwa hiyo chagua wa kukuomba hela lakini akuheshimu au mwenye kipato,mlingane ndani. Ndio maisha yako hivyo
3. Vipi lakini kuhusu uzuri wake,hujatueleza wadau ili tukupe point. Chura ipo?

Chura ndio muhimu kuliko vyote
 
Kichwa kuuma kila siku haimaniishi utoe pole
Toa pesa ya dawa' hospital'
Sisi tuna njua nyingi ya kuomba pesa aisee
Sio lazima niseme naomba kias fulani ' la hasha naweza kwambia nàjihisi homa ujiongeze utoe pesa hata ya hospital '
Ss unampa pole kila siku hizo pole zinaponesha?

Kama moyo wako unawasiwasi nae muache mtt wa watu aende maana hata huduma unamdhulumu
Katika huo mwez nlioish nae kila kichwa kikimuuma anakunywa dawa, lakn baad ya sku tatu kinaannza tena
 
Hapa chakufanya ni kumbwaga tuu. Mambo ya trip hospital trip nyumbani ni majanga. Ukiongezea anaweza kurithisha watoto ndio ikawa majanga mara mbili
 
  • Thanks
Reactions: _ID
1. Magonjwa kama pumu huwa ni ya kurithi. Tegemea nao watoto nao usishangae wakawa nayo.
2. Kwa hiyo wewe hakuna kumpatia mwanamke wako hela?. Hata kama hana kumuingizia kipato?. Mbona kama utaacha sana wanawake au hutaoa kabisa. Vinginevyo tafuta mwenye kazi yenye kipato cha kutosha,ili asikuombe hela,nae tegemea dharau kubwa kama amekuzidi kipato. Kwa hiyo chagua wa kukuomba hela lakini akuheshimu au mwenye kipato,mlingane ndani. Ndio maisha yako hivyo
3. Vipi lakini kuhusu uzuri wake,hujatueleza wadau ili tukupe point. Chura ipo?
sura yake n nzur kuzidi hata kim kadashian,
 
Kichwa kuuma kila siku haimaniishi utoe pole
Toa pesa ya dawa' hospital'
Sisi tuna njua nyingi ya kuomba pesa aisee
Sio lazima niseme naomba kias fulani ' la hasha naweza kwambia nàjihisi homa ujiongeze utoe pesa hata ya hospital '
Ss unampa pole kila siku hizo pole zinaponesha?

Kama moyo wako unawasiwasi nae muache mtt wa watu aende maana hata huduma unamdhulumu
Hivi mrembo hujui kama kuna msiba mkuu hapa nchini?

Mbona huuzungumzii kabisa
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Sikia utajuta kunpoteza huyo mwanamke,na sijui kama kweli unampenda au ni geresha tu,huo ugonjwa sio kitu kwa mtu unayempenda,mpeleke hospitali atibiwe,ili uishi nae kama ni kweli unampenda
hata mm nlifikiria kumpeleka hospital lakn tatzo magonjwa yake n yale yasiyotibika mfano pumu
 
Nimewaza tu Kama wewe ndiyo ungekuwa na hayo matatizo na huyo mwanamke angekuacha ungejisikiaje!!..utayaweza kweli maisha ya kiapo Cha shida na Raha hata Kama ukimuacha huyo?

Anyway Kama wamshindwa binti wa watu muache asepe.
dah ila nakapenda sana hakanaga nyodo kama madem wwngne wa town
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom