Dah! Mtaani siku hizi tunaitwa vibamia

Dah! Mtaani siku hizi tunaitwa vibamia

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,167
Reaction score
2,612
Nipo Longido kwa Babu yangu Leo,ndo nipo nae hapa ananipa michapo kuhusu mahusiano hasa kwa sisi mavijanaa ukilinganisha na enzi zao back in dayz.

Anasema hapa,Namnukuu "Enzi zetu wakati wa Mwalimu Nyerere,Suala la mapenzi lilikua na Utaratibu maalumu,KUT*MBANA ni usiku tu..Dushe lilikua linaheshimiwa,,Mwanamke anafumba macho mpaka Dushe lote lizame kisha anafumbua macho taratibu uku akilia kwa mahaba,mnaanza kut*mbana pole pole na anakuuliza kama akate kiuno au la.

Lakini sikuhizi mijitu inagegeduana mchana kweupe jua Kali,maadili hakuna kiuno kinakatwa kama feni tena bila taarifa kwa mt*mbaji. Mara Dushe liwekwe sikioni Mara kwapani sijui Mdomoni utafikiri imekua Microphone iyo,Mara kitovuni Mara ilambwe kama barafu, Ukiuliza unaambiwa eti ni mambo ya Dijitali, P*mbu zinavutwa kama mnawasha jenereta, mtakuja kufa washenzy nyie, Yaani atakama ulikua umedindisha unashangaa unadindua muda huohuo na mzuka unakata kama umeme.

Yaani sikuhizi bhana! Dushe linapekechwa sijui ndo kufinyiwa kwa ndani tena kwa fujo nusu dakika tu waarabu sijui wazungu hawapa.

Sikuhizi mnaitana hadi vibamia,inasikitisha sana,mbona hivo vibamia ndo vimewazaa? Mambo ya Kijinga jinga, Shiee Tabalai".

Ndio akaishia hapo akaingia kulala.
 
IMG_20200508_124418.jpg









Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Nipo Longido kwa Babu yangu Leo,ndo nipo nae hapa ananipa michapo kuhusu mahusiano hasa kwa sisi mavijanaa ukilinganisha na enzi zao back in dayz...


Anasema hapa,Namnukuu "Enzi zetu wakati wa Mwalimu Nyerere,Suala la mapenzi lilikua na Utaratibu maalumu,KUT*MBANA ni usiku tu..Dushe lilikua linaheshimiwa,,Mwanamke anafumba macho mpaka Dushe lote lizame kisha anafumbua macho taratibu uku akilia kwa mahaba,mnaanza kut*mbana pole pole na anakuuliza kama akate kiuno au la.!...


Lakin sikuhizi mijitu inagegeduana mchana kweupe jua Kali,maadili hakuna kiuno kinakatwa kama feni tena bila taarifa kwa mt*mbaji!!,Mara Dushe liwekwe sikioni Mara kwapani sijui Mdomoni utafikiri imekua Microphone iyo,Mara kitovuni Mara ilambwe kama barafu ,,Ukiuliza unaambiwa eti ni mambo ya Dijitali,,P*mbu zinavutwa kama mnawasha jenereta,mtakuja kufa washenzy nyie,,Yaani atakama ulikua umedindisha unashangaa unadindua muda huohuo na mzuka unakata kama umeme..!!


Yaani sikuhizi bhana!Dushe linapekechwa sijui ndo kufinyiwa kwa ndani tena kwa fujo nusu dakika tu waarabu sijui wazungu hawapa...


Sikuhizi mnaitana hadi vibamia,inasikitisha sana,mbona hivo vibamia ndo vimewazaa??Mambo ya Kijinga jinga,,Shiee Tabalai"...


Ndo akaishia hapo akaingia kulala...
@NgarenaroBoy.
Mbona unatufokea
 
Hahah uyu ni mzee hanaga izo mambo asee,,iyo Lugha ya mavijanaa
 
Naona babu amesahau kuwa kibamia na kutia mimba ni vitu viwili tofauti
 
Hakukuwa na kula tunda kimasihara? Embu mwamshe babu inawezekana ni mtu wa fix
 
Back
Top Bottom