Wanawake wenzangu, mnawezaje kukabiliana siku ya 1 ukikutana na mwanaume mwenye maumbile makubwa?

queen of the jungle

JF-Expert Member
Mar 17, 2017
228
429
Kuna kijana nilikutana naye ana mvuto kwa kweli alikidhi vigezo vyangu vyoote nilivyokuwa naviitaji kwa mwanaume wa kuishi naye, lakn baada ya muda tukapanga muda wa kutikisa kabla ya kutumia maana tulikuwa na matarajio ya kuoana baada ya muda mfupi maana kila mtu alivutiwa na mwenzako ili tuweze kuanzisha familia.

Tulienda hoteli moja nzuuri kimandhari ili niweze kuonyesha content yangu kama mwanamke
tulipoanza kufanya mapenzi kwanza niliona kitu kinazidi kuwa kikubwa baada ya kukitoa nilihisi moyo unanienda mbio baada ya kuona ni mguu wa mtoto na sijawahi kukutana nao kiukweli nilimwambia naumwa kila akijaribu nilihisi kuchanika akashindwa hata kumaliza haja zake maana ilikuwa kama anataka kunibaka na hamu zoote za kumpenda presentable yule ziliniishia nikamchukia ghafla

Toka siku hiyo nilianza kumpotezea japokuwa aliendelea kunifatilia na kuniahidi kunifundisha namna ya kuyahandle maumbile yake makubwa lakini sikuhitaji kuonana naye tena cha ajabu juzi naambiwa kaoa nilijiuliza huyo aliyemuoa amemuwezaje mi mbona kuiona tuu bastola yake ilivyokubwa nilihisi kuzimia.

Mimi binafsi niseme tuu ukweli nawashangaa wanawake wanaosema wanaume vibamia mi ndo huwa nawapenda na nainjoy au iwe saizi ya kati hivi kidogo lakini ikiwa kubwa kwanza tutakavyopigana humo ndani mpk utahisi hatukuwasiliana maana huwa naumia au nachanika kiasi kwamba nikienda kukojoa au kunawa nakuwa kama nimepaka pilipili.

Naombeni msaada mana elimu haina mwisho nijifunze namna ya kummudu mtu mwenye mzigo mkubwa
 
Kawaida uke ni kama mfereji ambao unakuwa na grands mbali mbali kawaida yake hutanuka ili kuuhimili ukubwa wa uume wa size yoyote, na kutafuta kwake huwa sio kwa ghafla ni process ambayo huanza pale mwanamke anaposisimuliwa pale anapotomaswa sehemu zake muhimu za mwili zinazomzisimua. Kuumia kwa mwanamke hutokana na kutokuandaliwa vzr au uume ukiwa mrefu sana unagusa kizazi...
 
Hata mimi ishawahi nitokea,alinipenda sana yule mkaka. Lakini nilimwambia ukweli,maumbile yako makubwa na refu,nitaharibu kizazi maana ikiingia ataanza tartibu haiweki yote lakini utamu ukizidi na inch zinazidi kwenda mbele mpaka unahisi inatokea mdomoni. Akasema atatafuta namna ya kuhandle nkamwambia hapana,si enjoy mapenzi akaniambia basi tusiwe tunasex nkamwambia mm binaadamu,nitakucheat of which sitaki kufanya kitendo kama hcho kwa mwanaume nnaempenda anae nipenda. Akaniganda lakn nkampotezea mazima akaniacha
 
Hapo kuna mawili dadaangu inawezekana wewe hujui au ni mgeni kwenye masuala ya kungonoka.. Na kwa hyo ukija kuwa mkomavu na tundu lako likishapitisha watot wawili ndo utaona kwann wanaume wanahangaika kukuza maumbile yao na kina mama wanatafuta mishebede minene... Utakuja kuwasema hapa hapa hao vibamia wako.. Kwa taarifa yako papuchi yako itazidi kutanuka kadri unavyokuwa ukishindiliwa na mishebede tofauti lakini kibamia kitakuwa kipo pale pale na ndipo utakapoanza kuona kinapwaya..
 
Back
Top Bottom