Hivi nyie mnaohonga mademu magari mna matatizo gani?

Namba 26

JF-Expert Member
Oct 15, 2018
309
917
Unakuta jamaa kahonga gari kali hata la zaidi ya milioni 50 nashindwaga kuelewa akili za huyu mtu. Cha ajabu mamake hana gari wala babake wanahangaika yeye anampa demu.

Yani kile kitu tu cha kati ndo unatoa pesa zote hizo? Hayo ni matope si akili, halafu siku zote wanaohonga honga hovyo mademu wana upungufu wa nguvu za kiume, wanahonga kuziba mapengo wasiachwe.

Italeta maana kama tu kitu unachohonga hakipo juu ya uwezo wako yani kidogo sana sawa na bure ila bila hivyo we ni boya na upungufu wa nguvu za kiume.
 
Mwenyewe Kupenda Haoni Chongo Atasema Kengeza!!
😑🤨😶😎🤔😐😏
 
Men’s talk, am here taking notes for future reference.

Mwanaume wangu atatakiwa kunihonga misosi tuu.

Love Eating.
 
Haha naangalia tu mnavyotaka ku divert huduma kwenda kwa wakwe..
Tuwaache wakwe waleane,babe anitunze mie bwana..sijui Kama mleta maada volume imekutosha eh

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom