Kama ilivyo katika tamaduni zetu mtu akifiwa watu hukusanyika na usiku ukifika hulala nje ili kumpa sapoti mfiwa.
Juzi palitokea msiba jirani yangu ikibadi tujumuike pamoja ili kumpa pole mfiwa...
Wakuu kwema..
Nimekuja kuamini sometimes expectations zetu ndio hupelekea disappointment. Unaweza kuwekeza muda mwingi, hata budget ili kufukuzia mtoto mkali from the head to the toe ukaweza hata...
Mimi na huyu mwanaume tulikaa kwenye mahusiano kwa miaka 7. Baada ya kumaliza chuo, ilikuwa ngumu sana kupata kazi. Mimi nilibaki nyumbani nikawa nafanya kazi kwenye duka la baba yangu. Nilikuwa...
Mama Yangu Kanikimbizia Mchumba Wangu!
Mimi ni binti wa miaka 30, sijaolewa ila niko kwenye mahusiano na Kaka mmoja huu ni mwaka wa saba. Mwaka jana tuliongea kuhusu ndoa akaniambia itakua mwaka...
Mume wangu tajiri wa kusini nakupenda sana jamoni yaani bila wewe siwezi kuishi japo wewe ni tajiri ila umeamua kujishusha,kunihudumia,kunilinda na kunijali jamoni wewe ndiyo umenifanya nione...
Habari wanaJamiiForums.
Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita. Na kifo chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa...
Nilileta hapa uzi ukizungumzia kuhusiana shida ya ujauzito iliyompata shemeji yenu.
Ambapo tarehe saba alijifungua mtoto akiwa amefariki.
Tukahudhuria hospitali kwa kipindi chote tulichotakiwa cha...
Dada zangu hamjambo? Jitahidini kubuni miguno mbalimbali inamaana kubwa sana.
Mimi Ponjoro wa Kinondoni ukitaka niwe nakuhonga kila siku we toa milio mbalimbali hapo sitangoja uniombe hela.
Ni...
Tuna miezi mitano tangu tuachane,kwa kipindi hiki nimejaribu kutoka na wanawake watatu wakali (yeye wa kawaida sana) lakini cha ajabu bado Ex anatembea kwenye ubongo wangu, hata hawa ninao kuwa...
Siku ya kwanza na ya pili condom huwa inazingatiwa sana
Siku ya tatu na kuendelea mpira hauna thamani tena, mnaaminiana sana,
Baada ya mwezi watu wanaanza kuchokana, wanahama kwa wapya, na huko...
Yupo Hapa kijana ana Age 30 Muathirika Anahitaji Mwanamke wa kuwa naye kimahusiano hadi ndoa
Uwe serious na mwenye kujimudu kiuchumi
Njoo Pm niwakutanishe Yupo Arusha
Ndoa imelenga kuwakutanisha watu kwa ajili ya kuanza kujamiiana na sio vinginevyo, sasa nawashangaa watu kufunga ndoa baada ya kugegedana sijui wanafunga ndoa ili iweje
Yani mshaingiliana kimwili...
Wakuu
Kwa upande wangu mwanamke niliyekuwa namjua kuwa ni black ile tii alafu badae nakuja namwona ashakuwa white tena unakuta anaringia weupe wake wa kujichubua huwa namwona ni mtu ambaye...
Habari za muda huu
Yaani wanaume wa humu sijajua ni dharau,ni Malaya,au wapoje kwasababu,kila mtu anakuona kama Malaya tu,mara oooh unatangaza biashara.
Mara sijui nini,kutongoza kwenyewe...
Hello guys,
Hapo zamani kabla sijaijua dunia vizuri, nlikuwa napenda sana kukaa kwa ndugu kipindi cha likizo (shule zikifungwa) au kwenye familia ya marafiki zangu..nlikuwa nkijihis comfortable...
MARA YA KWANZA NAFINYIWA KWA NDANI.
Aliifinyia kwa ndani.... Nlishtuka nikapiga nduru, Aishaaaaaaaaaaaa unafanya nini sasa.... Nikamwaga mzigo woooote... Nikawa kama nimezimia. Ile kelele nlitoa...
Sio kila kesi inahitaji utimamu wa binadamu, nyingine unatikiwa ujizime data ndo u solve.
Na kesi ya mshikaji wangu na mke wake walitengana kwa mda wa miaka wote washikaji zangu. Baada ya kupiga...
Kuna wanaume na wanawake asubuhi wao hawapigi mswaki wala halafu unakuja kazini au upo kwenye daladala unanuka mdomo sana ,.
Inakeraa naukifika kazini dah yaani unaweza kutapisha mtu ukiwa...
Habari ndugu wana JF.
Kwa majina yangu naitwa Mtoto kautaka, a.k.a indaba mtini wena, a.k.a saga manoti, a.k.a mgambo mwenye cheo, lakini pia unaweza ukaniita mmongoli.
Niende kwenye mada, leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.