Inachukua muda gani kuingia kwenye mahusiano mengine?

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,668
Wasaalam.

Wanabodi na wataalam wa mahusiano, inachukua muda gani kuingia kwenye mahusiano mengine mapya baada ya kuachana na uliekua katika mahusiano?

Je, inashauriwa kuchukua muda gani kabla ya mahusiano mengine mapya?
 
Sidhani kama haya mambo yana sheria but I think whenever you feel like you are ready or comfortable. But it depends on ,
1.Ni nani amekatisha hayo mahusiano.
2.How long the relationship lasted.
3. Sababu ya kuachana.
4. Umeipokea namna gani hiyo break up.

Maelezo,
Kama umeishi na mtu miaka mitano na mkaachana kusahau na ku-move on gharama yake ni tofauti na mtu mliyekuwa kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa.

Kama wewe ndie uliyekatisha haya mahusiano, unaweza kuchukua muda mfupi kuingia kwenye mahusiano mapya kwa sababu hautakuwa na maumivu sana, ni maamuzi yako. Lakini aliyeachwa anakuwa na maumivu zaidi na hasira na kujutia hivo ni vizuri kama akichukua muda ku-heal.

Sababu ya kuachana ni ipi? Wengine wanaachana kwa sababu wamekubaliana kwa sababu nzuri tu. Labda wameona hayo mahusiano hayana maana, au wanawapenda watu wengine. Mfano, wewe unadate na mtu lakini yeye anampenda mtu mwingine. Mnakubaliana kila mtu aende kwa ampendaye. Kwahiyo unaweza kudate mwingine hata lisaa baada ya kuachana.

Having said that, inabidi tu uingie kwenye mahusiano pale unapohisi upo tayari, na sio kwa sababu unataka faraja kwa muda huo au una huzuni au unataka kum-show Ex wako.
 
Inategemea NTU na NTU na pia penzi lililokufa lilikuwa deep kiasi gani na lilidumu kwa muda gani.

Wasaalam,. Wanabodi na wataalam wa mahusiano.inachukua muda gani kuingia kwenye mahusiano mengine mapya baada ya kuachana na uliekua katika mahusiano? Je inashauriwa kuchukua muda gani kabla ya mahusiano mengine mapya?
 
mkuu ili usipate shida unapoona dalili breakup andaa chimbo then ndo unaleft, ukisema uchukue muda fulani lazima utakua mpweke na kuumia kihisia kila umkumbukapo mwenzawako bt ukiwa na chimbo hata huwez kuwaza.
 
Sidhani kama haya mambo yana sheria but I think whenever you feel like you are ready or comfortable. But it depends on ,
1.Ni nani amekatisha hayo mahusiano.
2.How long the relationship lasted.
3. Sababu ya kuachana.
4. Umeipokea namna gani hiyo break up.

Maelezo,
Kama umeishi na mtu miaka mitano na mkaachana kusahau na ku-move on gharama yake ni tofauti na mtu mliyekuwa kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa.

Kama wewe ndie uliyekatisha haya mahusiano, unaweza kuchukua muda mfupi kuingia kwenye mahusiano mapya kwa sababu hautakuwa na maumivu sana, ni maamuzi yako. Lakini aliyeachwa anakuwa na maumivu zaidi na hasira na kujutia hivo ni vizuri kama akichukua muda ku-heal.

Sababu ya kuachana ni ipi? Wengine wanaachana kwa sababu wamekubaliana kwa sababu nzuri tu. Labda wameona hayo mahusiano hayana maana, au wanawapenda watu wengine. Mfano, wewe unadate na mtu lakini yeye anampenda mtu mwingine. Mnakubaliana kila mtu aende kwa ampendaye. Kwahiyo unaweza kudate mwingine hata lisaa baada ya kuachana.

Having said that, inabidi tu uingie kwenye mahusiano pale unapohisi upo tayari, na sio kwa sababu unataka faraja kwa muda huo au una huzuni au unataka kum-show Ex wako.

Ooh, okaay 🤔

Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Brilliant explanation!
 
Nimejifunza kitu

Nafikiri ni siku moja tu sababu naona inatosha kabisa kufanya uchaguzi kW wachezaji wa akiba
 
Back
Top Bottom