Hawa wanawake wengi wasioolewa ni kwa sababu ya uoga wetu wanaume

kimbweto

Member
Oct 6, 2012
53
189
Ndugu zangu wanaume dunia hii imejaa wanawake wengi. Hawa ni jukumu letu sisi wanaume kuwaoa, kuwawezesha na kuwanusuru na maswahibu wa dunia. Wanaume tuache woga tuwaoe, tuwapangie nyumba na tuwahudumie.

Hii wanajiuza na kudanga hovyo mitaani ni makosa yetu; tuwanusuru wanawake kwa kuwaoa zaidi ya mmoja.
 
Weee.... lugha zao ushazisikia?
 
Ndugu zangu wanaume dunia hii imejaa wanawake wengi. Hawa ni jukumu letu sisi wanaume kuwaoa, kuwawezesha na kuwanusuru na maswahibu wa dunia. Wanaume tuache woga tuwaoe, tuwapangie nyumba na tuwahudumie.

Hii wanajiuza na kudanga hovyo mitaani ni makosa yetu; tuwanusuru wanawake kwa kuwaoa zaidi ya mmoja.

Mkuu huo Moyo wa Kuwaoa utatoka wapi wakati 85% ya Wanawake wa Siku hizi wanapenda ' Vumbi Road ' wakati Mwenyezi Mungu ameshalaani?
 
Ndugu zangu wanaume dunia hii imejaa wanawake wengi. Hawa ni jukumu letu sisi wanaume kuwaoa, kuwawezesha na kuwanusuru na maswahibu wa dunia. Wanaume tuache woga tuwaoe, tuwapangie nyumba na tuwahudumie.

Hii wanajiuza na kudanga hovyo mitaani ni makosa yetu; tuwanusuru wanawake kwa kuwaoa zaidi ya mmoja.
Mke mmoja unakuta mtu unaongea peke yako barabarani sasa wakiwa wanne si ndio unakuwa chizi kabisa...
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom