Mtoto wa kike ukitongozwa shukuru

Mtoto wa kike ukitongozwa shukuru

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
47,776
Reaction score
257,882
Kuna tabia pindi mwanaume anapojaribu kuelezea hisia zake kwa mwanamke baadhi ya wanawake Huwa yanawatoka maneno ya dharau, kebehi, matus. Jaribu kutumia lugha ya kawaida tu kama ombi lake hulitaki.

Ila ukumbuke wewe Dada Shukuru Mungu usiku na mchana wewe unatongozwa.

Kuna wanawake wanahangaika usiku na mchana apate angalau salamu tu Kutoka kwa kaka zetu hawa Ila hapati.

Iko siku hii mitongozo utaikumbuka.
 
Mwanamke anayejitambua hahitaji kutoa maneno ya dharau akitongozwa.

Kutongozwa ni ishara ya kupendwa, hata kama kupendwa kwa ashiki za mwili tu, bado ni kupendwa, maana mtu hamtongozi mtu asiyempenda kabisa.

Kwa hivyo, inawezekana kabisa mwanamke akakataa kumkubalia mwanamme anayemtongoza bila dharau wala kejeli, na hata kujenga urafiki wa mbali na kuheshimiana tu akijua kwamba fulani ananipenda/ananitaka.
 
Siku hizi hadi unaambiwa unahitajika ushakula out za hapa na pale halafu unaambiwa unahitajika mko ndani ya mjengo.
Kukataliwa inakua historia kimtindo.

NB. Ni rafiki yangu ndiyo mbinu zake siyo mimi.
 
Kuna tabia pindi mwanaume anapojaribu kuelezea hisia zake kwa mwanamke baadhi ya wanawake Huwa yanawatoka maneno ya dharau, kebehi, matus. Jaribu kutumia lugha ya kawaida tu kama ombi lake hulitaki.

Ila ukumbuke wewe Dada Shukuru Mungu usiku na mchana wewe unatongozwa.

Kuna wanawake wanahangaika usiku na mchana apate angalau salamu tu Kutoka kwa kaka zetu hawa Ila hapati.

Iko siku hii mitongozo utaikumbuka.
Siyo hivyo subiri pia na ka-umri kasogee sogee uone unavyoendelea kupokea shikamo tuuu na si zaidi
 
Nyodo zao kuanzia kwenye kisigino mpaka utosini...halafu ukija kuzama ndani unabakia kuguna tu na kujuta...wengine wanaringa lakini ndani ni uozo mtupu[emoji36] [emoji40]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom