Habari wakuu,
Wakuu kuanzia leo tarehe 09/10/2016, nimempiga marufuku mpenzi wangu kusuka nywele zake mpaka ntakavyoamua vinginevyo, hata kama nitaonekana mkatili na watu wa haki za binadamu...
Umri:20-26
Elimu: Shahada
Asiwe na mtoto,
Awe mkiristo
Mwembamba; maji ya kunde au mweupe. Mrefu wastani
Sifa zangu
Umri 27, elimu yangu ni shahada, maji ya kunde, mkiristo, Nina hofu ya Mungu...
Kwanini wanawake walioolewa, wapo wapo tu kwenye uwanja wa fundi seremala tofauti na ambao hawajaolewa?
Ohooo yes love, shika hivi binuka kidogo mtoto mzuri. Kilegeze kiuno kidogo mrembo wangu...
Ni ukweli usiopingika kuwa wanawake wameumbwa tofauti kabisa na sisi wanaume. Wao mioyo yao ni migumu yenye kuhimili majuto na shida ya mapenzi.
Ndio maana mwanamke hata atendewe vipi kujiua kwa...
Habari ya asubuhi wana jamvi,
Kwanza kabisa naomba kutoa angalizo kuwa utafiti huu nilioufanya kwa takribani miezi miwili ilopita ni utafiti huru na usichukuliwe kwa mlengo wowote huo; dhamira ya...
Tumsifu yesu kristo wapendwa?naomba kujibiwa hako kaswali kangu hapo juu,maana kwa uchunguzi wangu nimegundua wanawake wengi warembo wanashobokea sana njemba zinazofanya kazi bank,mwanzo nilidhani...
Niaje guys? Hope ur good.
Kuna cousin wangu ambae ni mtoto wa shangazi yangu, nimelelewa, kusoma na kukua kwao, nilienda hapo nikiwa std two baada ya baba kufariki, wazazi hawakua na ndoa...
Habarini wadau,
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambayo jamii yake inaishi katika hali ya ujamaa sana, nikawaida kukuta fulani amepata mafanikio labda alisaidiwa pesa ya kiatu cha shule na, mjomba...
Kuna wakati unatamani kusingekuwa na mapenzi
duniani. Unampenda mtu kwa moyo wote anaishia
kukupa maumivu. Kuna wakati unatendwa hadi
unatamani kuua lakini unaishia kulia. Usivunjike
moyo...
Nikisafisha meno hata kwa toothpick na kutoa uchafu huwa na harufu mbaya hasa kwa mabaki ya vyakula kama nyama ,samaki na vinginevyo. Huwa napata shida kuwaza, wale wanyonyana ndimi huwa...
Habari wana JF,
Uvaaji wa shanga kwa kina dada /mama nikitu ambacho bifasi sikielewi mantiki yake, nakufanya pia nipate maswali mengi juu ya uvaaji wao wa shanga,
Na katika maswali ambayo...
Tanzania ukiongea English wanaona umesoma, Tanzania ukiendesha gari msichana wanaona una pesa hata kama ni la kuazima wanaona una pesa, kiukweli ukiwa na gari kung'oa msichana ni rahisi sana tena...
*Aina Kumi Za Waume Ambao Wake Zao Wanakereka Kuwa Nao*
Kila ndoa inachangamoto zake na maana halisi ya ndoa ni ule uwezo wa wanandoa kuvumiliana katika changamoto hizo. Kuna changamoto za...
Imenitokea ghafla sana kila nikikumbuka matendo yake mabaya kwangu nashindwa kumsamehe na ninamchukia kupita maelezo. Kifupi hata nikimuona hasira inanipanda na hata mawasiliano naye sitaki.
Hua...
Habari za leo ndugu zangu wana JF,
Naombeni ushauri wenu kwa hili linalonikumba,
Mimi ni kijana /mwanaume nina mchumba kwa mda wa miaka 3 sasa lakini huyo mchumba wangu simwelewi, kwanza ana...
Nimeamua kuuliza hili swali hapo juu.
Ni kipindi sasa nimekuwa nikisikia wanaume wenzangu wakisema kwamba "Nikishachukua namba tu mimi tayari nimemaliza shughuli" Hapa wakiwa na maana kwamba...
Habari zenu!
Nimewaita huku ilituzungumze machache yanayowahusu,
Hivi kwann mntufanya sisi kama vitendea kazi vyenu?
Nimejaribu kufuatilia michango yenu ktk threads mbalimbali nimegundua...
Wakuu salaam
Sijawahi post kitu katika jukwaa hili hii ni mara yangu ya kwanza penye wengi hapakosi kitu.
Wakuu kisa changu ni hiki.
Katika pita pita zangu nilikutana na binti flani ambaye sikuwa...