Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

MTOTO WA HAYATI Sehemu Ya 35 Mtunzi..... MoonBoy Ilipoishia Jana →↓↓ "mmmhhh kwa kuhonga hajahonga,... Kwani CV na vyeti vyake niliviona hivi kwa macho yangu, amesoma uingereza kila kitu, afu...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Huu ni mfano tosha ambao unaweza kuwaelezea wanawake kwa usahihi zaidi pale anapokuwa kwenye mahusiano yasiyo ya kweli. Sifa moja ya kivuli huonekana baada ya mwanga kummlika kitu na baadae...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Utakuta kuna msichana umezoeana nae mkajikuta mmependana ila hakuna aliyemfungukia mwenzake, Siku ikatokea mmekaa sehemu ya faragha gheto mara ghafla mkajikuta mmeanza kukiss hadi kusex, alafu...
10 Reactions
44 Replies
5K Views
Hili janga la "kujichua" limekuwa kubwa na limeathili vijana wengi, kiukweli ukianza "kujichua" wewe ni sawa na mtu aliyeanza madawa ya kulevya, yaani kuacha ni "muujiza", wengine mpaka wanaoa...
15 Reactions
215 Replies
22K Views
Kwema wakuu? Kwa muda mrefu nimekua nikisikia wanawake wakisema wanapenda wanaume wenye sauti nzito zenye besi kama ile ya Baraka obama au kama za wale waimbaji wa Boys 2 men. Hivi sauti nayo huwa...
3 Reactions
94 Replies
16K Views
Wanaume wengi wa kiafrica huwa tuna kawaida ya kuwaombea mabaya wanawake tuliowatongoza wakatukataa au tuliokua na mahusiano nao wakatumwaga.mfano me wakati nasoma chuo,pale mabibo hostel kuna...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Poleni kwa michakariko ya kusaka salari. Hili nimekuwa nikilifikiria kwa kadiri ya uzoefu wangu. Mara kadhaa ninapokuwa katika mechi na mwanamke wa umri mdogo huwa nina shuhudia kuwa wanakuwa na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni msichana mmoja mrembo niliyedate naye kwa malengo ya kumuoa. Nikikwambia mrembo jua mrembo kweli kweli, Wema Sepetu mwenyewe atasubiri sana. Sema tu hajapata kiki. Bahati mbaya sikuweza kumuoa...
4 Reactions
162 Replies
12K Views
Wapendwa natumaini wote mu wazima, Katika kupitia pitia mada mbalimbali humu jamvini, nimekutana na post hii ya muhanga ambayo imenifanya niwaze mengi kiasi cha kujikuta nachanganyikiwa na hivyo...
17 Reactions
325 Replies
24K Views
Nawasalimia wana JF. Hebu leo ngoja niongelee ka utafiti kangu nilikokafanya. Kwanza mimi ni mrefu wa wastani naweza kusema nipo na 180.3cm. Nimetokea kuwapenda sana wanawake wafupi. Kwanza hawa...
20 Reactions
159 Replies
38K Views
Habari zenu wakuu. kama kuna mdau ana namba zozote za kina dada poa jamani naomba anipatie hapa, p/se guys msaada wenu wadau.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Unaishi peke yako, na katika nyumba yako kuna stoo iliyoko uani ambapo ndipo unapotunzia vitu vyako mbalimbali. Mlango wa stoo yako huwa unaufunga kwa kufuli ambayo haihitaji kufunga na funguo...
4 Reactions
90 Replies
7K Views
......Bwana Magoti, mrefu kiasi na mweusi, anakuja kutupokea akiwa ameambatana na watoto wake watatu, wadogo; Happy, Eliza na Witi. Tulipofika nyumbani kwake, alitukaribisha kwenye banda la uani...
8 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari za wakati wanajamvi wenzangu, Natumaini mnaendelea salama na ujenzi wa Taifa. Kilichonipelekea kuandika huu uzi ni baada ya kufumania message za mapenzi kwenye simu ya mpenzi wangu. Mimi...
2 Reactions
135 Replies
23K Views
Salaam zenu wakuu, Mambo ya ndoa ni mengi mno kwa kweli ukiamua kuwa mtoto mtiifu kwa mke ni tabu ukisema uendelee na uzinzi bado ndoa haiwi na amani, sasa sijui mtu ufanyeje. Ni kama mwezi...
2 Reactions
128 Replies
17K Views
Niache nifanye kusudi, ikibidi nifanye kufuru, wanitangaze hata sana, kwani, mimi ninavyompenda, mwingine hakuna, kanifunga kamba, nitatimiza sunna, kaniganda-ganda, baridi hakuna, utundu wa...
3 Reactions
86 Replies
11K Views
Nawasalimia wana JF wote siku ya leo, Nimekuja leo tena katika mwendelezo wa maelezo mazuri. Unajua tukiwa marafiki kunavitu tunapashana na kuelezana ili hatimaye urafiki wetu udumu na uzidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini Wanajamvi!?? Kama Kichwa hapo juu kinavyojieleza. Siku hizi kumezuka tabia ya sisi wanaume kulia lia wengine wameenda mbali zaidi kwa kupiga mayowe na kunga huku na huko. Kiukweli jambo...
5 Reactions
101 Replies
10K Views
wakuuu tukiacha hali ya mazoea baina ya mke na mme ya kufanya usiku,ebu tuje kwenye uhalisia Assume unampenzi na ni mara chache kukutana nae, ikatokea mkakubaliana weakend mkutane ili mjivinjili...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wana JF, Tumaini langu ni wazima wa afya, kuna jambo nimejaribu kutafakari baada ya chunguzi zangu nyingi, nahisi ntakubaliana na mimi na japo watu wataopinga pia ila hili si...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom