sab
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 5,744
- 4,354
Habari wana JF,
Uvaaji wa shanga kwa kina dada /mama nikitu ambacho bifasi sikielewi mantiki yake, nakufanya pia nipate maswali mengi juu ya uvaaji wao wa shanga,
Na katika maswali ambayo nimekuwa nikijiuliza nikama ifuatavyo;
1, Je wanadada/ mama wenyewe ndio wanapenda kuwa na shanga kiunoni au ni shindikizo toka kwa wanaume?
2, Je shanga sinampa mwana dada/ mama raha gani wawapo kitandani?
3,Je kuvaa shanga nyingi kunaongeza chochote kile wanacho kipata ?
Maana utakuwa mwanadada mwingine ana shanga mmoja, mwingine 3 na mwingine hata 30 zipo kiunoni , je kuna faida gani kuvaa shanga nyingi au chache?
4, Je mwanadada /mama kuvaa shanga kinaweza kuwa kiashiria kwamba mwanadada huyo ni malaya?(ana wanaume zaidi ya mmoja)