best mugy
Member
- Sep 22, 2016
- 34
- 28
Habari za leo ndugu zangu wana JF,
Naombeni ushauri wenu kwa hili linalonikumba,
Mimi ni kijana /mwanaume nina mchumba kwa mda wa miaka 3 sasa lakini huyo mchumba wangu simwelewi, kwanza ana kiburi na kingine hapendi kunisikiliza mimi nikimwambia chochote yeye anaona kama namnyanyasa.
Ingawa anaonesha ana mapenzi ya dhati kwangu lakini wakati mwingne anafikia hatua ananitukana hadi matusi, nikitaka kumwacha yeye ndo wa kwanza kupiga simu kuniomba msamaha kuwa turudiane na mimi nakuwa na huruma namsamehe
Naombeni ushauri wenu huyu mwanamke anafaa kuwa mke wangu kweli au niachane nae maana anaweza niletea shida kwenye maisha yangu.