moniccca
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,383
- 3,285
Habari zenu!
Nimewaita huku ilituzungumze machache yanayowahusu,
Hivi kwann mntufanya sisi kama vitendea kazi vyenu?
Nimejaribu kufuatilia michango yenu ktk threads mbalimbali nimegundua hamuoni thamani yetu kbsa.
Niwakumbushe tu sisi ndiyo dada zenu, mama zenu, shangazi zenu, Bibi zenu na pia watu wa muhimu sana kwenu.
Mungu kutuumba wajinsia ya kike hakuwa namaana kawapa watumwa, bali alifanya vile kukamilisha familia.
Familia haiwezi kuwa kamili kama hakuna mwanamke na mwanaume.
Msijisahau enzi ya mfumo dume imepitwa na wakati, wengi wenu hata Matunzo kwenye familia hamtoi, wake zenu ndo kila lkn bado mkitoka vijiweni hamna jipya zaidi ya kusema wake zenu.
Emu badirikeni. Zingatieni hayo. Haya nende mkaendelee na shughuli zenu.
Mkasa wa leah2 umenifanya niwaandikie haya.
Asante.