Let's talk about it...

kanyela mumo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,034
2,106
Kwanini wanawake walioolewa, wapo wapo tu kwenye uwanja wa fundi seremala tofauti na ambao hawajaolewa?

Ohooo yes love, shika hivi binuka kidogo mtoto mzuri. Kilegeze kiuno kidogo mrembo wangu, utasikia nimechoka.

Basi mke wangu kaa kwa hivi, mwenzio napenda., maana hizi nyama nyama zina nipa burudani lovely, utasikia nani ulikuwa unafanya nae .. hapo unasikia sitaki mshenzi mkubwa wewe!!


Fundi kapima vipimo kwa kutulia, kawa mbunifu kwenye ufundi wake.. katumia nguvu mpaka jasho. Iweje wake zetu msiwe wabunifu kwenye uwanja wa fundi seremala? Mkizingatia hata smart phones mnazo!?
 
Ndoa! Ndoa! Ndoa!

Naoa ili nigundue nini.Eti dhambi ya zinaa! sipendi unafiki kabisa .Kama ni dhambi ya zinaa naweza iepuka/nisiiepuke hata nisipo/ninapo kua na mke.Tatizo watu wanaendekeza sana mwili wakijua ni lazima kuoa/kuolewa.

Sitaki kua philosopher.Ninayo yajua yanatosha kunizika dmn!

N:B Hayo ni yakwangu sija lenga kada yoyote! na sija shauri chochote.Niko upande sahihi kwangu sio kwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom