Wadada, Hii ni style gani?

Wadada, Hii ni style gani?

mshikachuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
2,853
Reaction score
638
image.jpg

Hii ni style gani? Naona now days kila mdada anayo kichwani...si ulaya si Africa. Nipeni jibu.
 
Mkuu imekupagawisha nin? Ngoja walengwa waje kukujibu
 
mshikachuma, hiyo unaweza
1. kutumia texturizer, ukipata muwekaji mzuri zinatokea hivyo; au
2. kama una nywele natural ambazo ni laini unaweza kutumia activator baada ya kuziosha, kuzichana, unaweka activator yako then unachana kwa vidole, lol!
namba 2 huwa naitumia, hiyo siyo permanent, ukiosha tu imekwisha, ila namba 1 ni permanent
 
Last edited by a moderator:

Du ni poa, ngoja nami nimshauri mama ngina atokelezee, siku ya birthday yake namlipia atengeneze hivyo.......Ha ha ha, itaongeza mapenzi
 
kama ana nywele natural anaweza kufanya hivyo, lakini kama alishaziweka relaxer maana yake zilishakuwa straight haitawezekana
 
mshikachuma, hiyo unaweza
1. kutumia texturizer, ukipata muwekaji mzuri zinatokea hivyo; au
2. kama una nywele natural ambazo ni laini unaweza kutumia activator baada ya kuziosha, kuzichana, unaweka activator yako then unachana kwa vidole, lol!
namba 2 huwa naitumia, hiyo siyo permanent, ukiosha tu imekwisha, ila namba 1 ni permanent
unakumbuka sazuu ya chokaa?
 
unakumbuka sazuu ya chokaa?
ile ilikuwa noma besti.....
ila sasa ilikuwa inafanya nywele zinakuwa straight kupita zilizolambwa na mbwa.....
thanx God sikuwahi kutumia, maana chokaa ilikuwa expensive, sikuweza kuafodi......
mbadala ilikuwa kuchoma na kigae cha chungu, lol!
 
ahahaaa sister ngu alikuwa anaipaka sana iyo .. ila kigae cha chungu kinanyoosha nywele vizuri kweli jamani
 
Back
Top Bottom