B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,582
- 3,272
WAKUU HABARI ZA IJUMAA.ngoja niende moja kwa moja.NAJUA WENGI MNAJUA HUU USEMI BINAMU NYAMA YA HAMU.hivi kumlala binamu sikama kumlala ndugu yako,japo naskia katika kuruani kitu kimealalishwa mnaweza kuowana,pia naskia kwenye kuruani wamesema waweza kumuowa mtoto wa mama mdogo au mkubwa eti kwa vile sio ndugu zako.mifano hai ona warabu wanachukuana wao kwa wao baba mdogo na mama mkubwa.pia naskia kina ammii nao pia wanaowana wao kwa wao. point yangu ni hii kwa style hii kamafamilia au uko wenu vilaza,mkiowana nyie kwa nyie si mtazidi kuzalisha vilaza. HII MNAONA IMEKAA JE WADAU
