Mdogo wangu anamtaka kila msichana ninayepata

Mdogo wangu anamtaka kila msichana ninayepata

Mwache dogo yupo hatua za kubalehe
 
Ukiahindwa tafuta msichana mkubwa umri mkubwa anyejielewa
 
Peleka boarding school huyo mkuu

By the way,kama mnaishi wawili Wewe na mdogo wako, house girl wa nini? Kama nyie ni wavivu kupika na kufua basi Tafuta ambaye atakuwa anakuja na kuondoka
 
Peleka shule ya bweni huyo. Atakutundikia mimba wasichana utaanza kulea wajukuu au na ukimwi juu.
 
Peleka boarding school huyo mkuu

By the way,kama mnaishi wawili Wewe na mdogo wako, house girl wa nini? Kama nyie ni wavivu kupika na kufua basi Tafuta ambaye atakuwa anakuja na kuondoka

nina mtoto ndo dada ananisaidia kukaa na mtoto nijienda job sasa akiwafukuza wasichana huo ugali na ada yakumlipia vitatoka wapi hadi ma house girl wa kitaa ni wake nimeongea naye wazaz pia wamemkanya hasikii. ni aibu hiz
 
Dawa yake ni Boarding tu (Boys). Tena shule za KIJESHI
 
Mufundishe kupinga pu.nye.to.
hii ndiyo dawa ya wanabording wengi
 
naishi na mdogo wangu wakiume anasoma fm3 ila licha ya ujeuri wake ananipa mtihani msichana wa kazi ninayepata anamtaka kimapenz tena wakati mwingine huwalazimisha msichana na wakimkataa anawapiga visa kibao hivyo wanaondoka. juz nmepata kaschana kenye nidham kweli amekuja kakaa siku 4 nkaenda safar ya siku moja usiku mtoto wawatu hajalala analazimishwa kutoa ishu kakataa akapigwa kofi la usiku mwema. kumrudisha kijijin naogopa lawama wasije sema nimemuachisha shule angekuwa na maisha mazur. napata mtihani nimejaribu kuzungumza naye mara nyingi but haachi hadi nikamwambia mwl wa nidhamu akaadhibiwa shule lakin wapi najuta uamuzi wakumchukua nimsomeshe



una visanga !!!!!!.........

[h=3]Naacha uaminifu rasmi[/h] Started by mwaj waukweli, 21st September 2014 21:34
mungu ahsante umenipa moyo wa mapenz ya dhati. lakin napenda wasiohitaji kupendwa wanataka kudanganywa. sasa nimeamua kuwa nawapenzi watatu kila mmoja namuambia yeye nimchepuko akishindwa kunifariji nampiga chini. hahaaaa
nina mtoto ndo dada ananisaidia kukaa na mtoto nijienda job sasa akiwafukuza wasichana huo ugali na ada yakumlipia vitatoka wapi hadi ma house girl wa kitaa ni wake nimeongea naye wazaz pia wamemkanya hasikii. ni aibu hiz


ndio huyu nini...?

[h=3]Alinilazimisha nitoe mimba[/h] Started by mwaj waukweli, 20th September 2014 08:11
Nilikuwa na mpenzi wangu miezi miwili kabla ya tarehe tuliyopanga wazazi wake waje kujitambulisha nikapata ujauzito wake.

Hapo ndipo nikamfahamu alivyo, alinilazimisha nitoe mimba nilivyo kataa akaniambia "kama mimba ni yangu lazima utoe usipotoa ni ujeuri wako labda kama una jamaa mwingine umezaa naye".

Alinitukana sana mimba ilikuwa inasumbua nalazwa hospital karibu kila week hakujali wazazi wake walijaribu kumshauri ikashindikana kwakuwa hatujawahi gombana.

Nikakubaliana na hali nakukubali kibuti, katika kugombana nikagundua nimshirikina kupindukia na nimganga wakienyeji anaagua kabisa na nimsomi wa chuo kikuu kaajiriwa ni mwalimu.

Alishaniomba msamaha sana turudiane ila kwa tabia zake moyo wangu umemchukia nakumfuta kabisa.

Ila naumia je mtoto wangu huyu nlozaa hata akiwa mkubwa akitaka kwenda kumsalimu baba yake huyu mwalimu a.k.a mganga wa kienyeji hawezi kumfanyia mambo mabaya na hivi hakutaka azaliwe.

Maskini binti yangu ninavyompenda.

...time will tell.....
 
Back
Top Bottom