kufunga ndoa kwa mkuu wa wilaya(bomani)

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,694
1,247
wandugu,naomba anayefahamu utaratibu wa kufungia ndoa kwa mkuu wa wilaya anifahamishe tafadhali,nahitaji sana cheti cha ndoa na haya mambo ya kanisani sijui harusi yanahitaji muda na pesa za kutosha! Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom