Wajane shikamooni

Wajane shikamooni

benteke

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
1,305
Reaction score
1,069
Kwa kweli nimevumilia lakini wacha tu niulize nimekua nikiona sana sana wanawake wengi wakiingia kwenye ujane wengi wao wanapendeza na kunawiri sana tofauti na hapo awali kabla ya kuondokewa (kufiwa) na waume zao.

Wanaume huwa kwa kweli wengi huwa wakiondokewa (kufiwa) na wake zao huwa wanachanganyikiwa wanakua rough na kukosa muelekeo.

Kama kuna jamaa yangu amefariki hana hata mwaka juzi nikakutana na mke wake kidogo nimpite kwa kweli sikumjua.

Amependeza kweli. mahipsi yemechomoza balaa.

Alafu cha kushangaza anaanza kunielezea ugumu wa maisha bila mme wake yaani alichokua anaongea na ukimtizama jinsi alivyonona na kunawiri ni tofauti.
 
Kwa kweli nimevumilia lakini wacha tu niulize... nimekua nikiona sana sana wanawake wengi wakiingia kwenye ujane wengi wao wanapendeza na kunawiri sana tofauti na hapo awali kabla ya kuondokewa (kufiwa) na waume zao. Wanaume huwa kwa kweli wengi huwa wakiondokewa (kufiwa) na wake zao huwa wanachanganyikiwa...wanakua rough na kukosa muelekeo. Kama kuna jamaa yangu amefariki hana hata mwaka ... juzi nikakutana na mke wake kidogo nimpite...kwa kweli sikumjua. Amependeza kweli. mahipsi yemechomoza balaa. Alafu cha kushangaza anaanza kunielezea ugumu wa maisha bila mme wake..yaani alichokua anaongea na ukimtizama jinsi alivyonona na kunawiri ni tofauti.

dah mkuu,nahisi ushaingiwa na ka uroho kwa shemeji yetu huyo.anyway ukinipm ka picha kake haitakuwa mbaya
 
Mwanaume akifa mke hunano maana huwa anapunguziwa majukumu. ila kwa wanaume mke akiondoka majukumu huzidi.

alafu hata ule uwogo kuwa mme wangu hataki nivae hivi nile chipsi unakuwa haupo anajiachia na kuchanua.
 
Wanaume hujisahau

Ila wanaume huwa ni tegemezi sana kwa mwanamke ndio maana huchanganyikiwa, mfano utakuta mwanaume anamtegemea mwanamke, kumpikia, kumfulia, kumpigia pasi, Mshauri wake ..kila kitu yeye anakuwa mtoto na mke kama mama..so mwanamke akiondoka lazima mwanaume achanganyikiwe...

Ila panaoondoka baadhi ya wanaume wanawake hunawiri sababu utakuta baba yeye alichokuwa anakijua ni kumpa tuu mama hela au kumuwekea mama hela mezani...Vingine hakuna...Wanaume wengi wanaishi na wake zao kama Madicteta nyumbani...Baba akiwepo watoto, mama wanakuwa waoga, Baba akiwepo nyumbani hakuna tabasamu, hakuna utani, baba yeye ni ubusy ubusy na yeye...Lazima siku akiondoka mwanamke awe huru japo atakuwa amemis Mshobobo tu. Na ukichangia tena wanawake wa leo wanafanya kazi tena hela wanapata ndio baas atanawiri hasa..

ni rahisi kuongea kama hujafiwa,yakikukuta wewe mwenyewe ndo utajua tamu ya chungu ya kuondokewa otherwise unaweza kusema lolote kwa sasa
 
Ukitaka uhakika wa hilo nenda kafanye risech maeneo ya kimara, na huko mbeya nenda soko matola na nonde;
ukaone wamama walivyonawiri baada ya kubaki wajane;

nadhani akina mama wa kimachame....wananawiri zaidi baada ya kufiwa
 
mkuu wanaume wengi hutesa wake zao na kuwapa stress pindi wawapo hai mwanamke akili inamchanganya kuwa mume anacheat mwili haukaii vizuri... sasa mkifa hapo sasa anakuwa hana kinachompa stress sasa bibi ni kupendeza wewe
 
Mwanaume akifa mke hunano maana huwa anapunguziwa majukumu. ila kwa wanaume mke akiondoka majukumu huzidi.

alafu hata ule uwogo kuwa mme wangu hataki nivae hivi nile chipsi unakuwa haupo anajiachia na kuchanua.
bigggg like
 
mkuu wanaume wengi hutesa wake zao na kuwapa stress pindi wawapo hai mwanamke akili inamchanganya kuwa mume anacheat mwili haukaii vizuri... sasa mkifa hapo sasa anakuwa hana kinachompa stress sasa bibi ni kupendeza wewe

hakuna mchagga anaeweza kusikitikia hili suala la kufiwa na mume....(sorry)
 
Back
Top Bottom