Akimuona tu anapata na hisia

Akimuona tu anapata na hisia

Prettinho

Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
48
Reaction score
2
jamanery naombeni, ushauri nina rafiki yangu, anakasirishwa na tabia ya mpenz wake, kila wanapokutana na mpenz wake jamaaa anatka ishu,,,, hata wakiwa ndani ya gari ucku maeneo ya kwao msichana, jamaa litavungavunga lipewe ishu ndani ya gari,,, kitendo hicho kinamkera rafiki yangu,,,, namwambia amwambie ukweli,,, jamaa anajibu acpomridhisha yeye nani mwengne afanye, eti anafanya hvyo kwa kuogopa matanio ya nje ya kumsaliti rafiki yangu,,,,,,hivi hii c kujiendekeza au ndo vizuri,,,,
 
akipewa mambo analalama ,asipopewa analalama. sasa kwani kama wameamua kuwa wapenzi kwa nini wasipeane hayo mapenzi wanavyotaka hao wapenzi wenyewe?
 
hivi njaa na nye ge kipi noma ?
 
akipewa mambo analalama ,asipopewa analalama. sasa kwani kama wameamua kuwa wapenzi kwa nini wasipeane hayo mapenzi wanavyotaka hao wapenzi wenyewe?

hee ndo kila sehemu, ye amekuja kumuona ucku wanakaa sehemu mbli kdgo,, jamaa anataka humohumo ndani ya gari wamalizane,,,
 
anaumwa huyo si bure ana nyege za hali ya juu ni hatareeee
 
ndo ndni ya gari, ckuhzi camera kibao, utakuta msharushwa tu,

kwani kama ni kurushwa hata gest si manaweza rushwa. mwambie amshauri huyo mpenzi wake aweke tinted ili mtu wa nje asione kinachoendelea ndani
 
Back
Top Bottom