Nimwambiaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimwambiaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pearl, Jan 14, 2011.

 1. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Siumwi chochote,si kiuno,kichwa wala tumbo,sijachoka wala sijachoswa na kazi lkn leo naona sijiskii kabisa kumpa mwenzi wangu tam yake,nami najua ana ham tena sana na nyonga msaga ini,sitaki na wala sipendi kumuudhi maana nampenda sana je nimwambiaje kwamba leo sijiskii ku do for love?nae keshwa kunywa konyagi mzinga wa pili sasa?
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh!!!
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mwambie SIJISIKII.
  asi anajua kwamba wewe ni BINADAMU..unafilling na mud pia?
  km yeye anajiskia we haujiskii .
  au tumia hand skill....mkono asi unao bib?...
  ...saluni niliskia km hawajiskii wanatumia mikono au midomo sjui nini so wewe chagua km mtaalamu wa mic chek 1 ..2 basi nenda azam
  au mkono kati bas mpango kamili


  ehh nyinyi mnaofanya mchezo mbaya mna tabu jaman...HERI YANGU MIMI NISIYEANZA BADO...i was pasng byeeeeeee:car:
   
 4. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Mkumbatie tu kidogo,then umwambie hujisikii vizuri,umuahidi kesho utampa tamuu!!!!:smile-big: mbona atalala tu na konyagi zake kichwani...................:car:
   
 5. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mmmh namjua vzr hata nikitumia njia hiyo bado yy anapenda japo azame hata kidogo lkn naogopa haina mabega ita......,namuonea huruma kwakweli
   
 6. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Unatafutwa wewe na Jino kwa Jino???nenda huko acha kujificha hapa...........lol :car:
   
 7. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  si rahisi kama unavyofikiri my dear!labda so ww ungefanya hivyo?
   
 8. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hapo ndo huwa nakupendea bidada,
  unapenda kuonyesha straight foward,
  hisia zako huwa zimelalia wapi!!!!!
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  haha hhaa mmh km ukimkamua fresh kwa mkono akatapika ahh mbona wanatulia sana tu..wewe mkamue fresh kwa mkono km akiwa mkaidi ukishka mic dk 5 nying atacheua tu....BT MKONO NA VIFUTA KDG ni poa mic atakuganda mpk aende madina...!!!!!!:car::car:byee
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  uwe na adabu.
  PAMADAKU.
   
 11. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #11
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  haiwezekani,
  jamaa kashapiga mizinga yake ya konyagi,
  halafu wewe umkumbatie tu kisha akuache hivi hivi,
  thubutu, kazi hiyo lazima uimalize!!!!!!
   
 12. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #12
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  rOSE, unakunywaga AMARULA?
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  eehh natafutwa tena?
  dada maden meng mjini apa asi unajua..ebu nambie ninan uyo?ebu kanichekie kwanza nimjue nan then ntakuja..asije akawa yule niliyemwambia ntamlipa kesho ela yake..kamdadis kwanza shost...
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Jan 14, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  st anna once in whle..bt fanta,peps,mirinda coca cola ndo rafiki zangu.
   
 15. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #15
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hiki ni ndo chama gani?
   
 16. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #16
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ah ah ah wakunyumba lol vp lkn mafuta ya kupikia,au alizet?sidhani kama anaelewa maana ya pamadaku lol
   
 17. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #17
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  chama cha chenjelai pambwani hapa bambo!ah ah ah
   
 18. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #18
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hebu niambie ile wine unayokunywaga,
  nazuka leo pale kivulini,
  kuna viparcel nimepewa hapa,
  naona vitakufaa!!!
   
 19. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #19
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  My dear Pearl,sitakuambia kitu ambacho sitafanya,nimegundua kutoka kwa mwalimu Rose hawa wanaume wametofautiana,mi nachojua Konyagi ina nguvu na wengine hulala tu,sasa nimegundua kuna wanaume Konyagi si issue kama asemavyo mwalimu Bacha,ye kaunga mkono hoja ya Rose,sasa tuangalie options nyingine,but i would have done what i advised you!
   
 20. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #20
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kivulini kwenye samaki samaki?
   
Loading...