MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,776
- 2,556
Jamani jana usiku nilikuwa naongea na mpenzi wangu ambaye ni mwanafunzi na mda huu yupo shule.but nikagundua kaniweka loudspeaker na rafiki zake wanacheka navyoongea nae nikagundua wanacheka kutokana na maongezi yangu kwake.mi nimegundua hanipendi angekuwa ananipendai asingenifanyia hivyo.msaada jamani nimfanyaje?