Nauliza hivi....

Nauliza hivi....

hussein boxer

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
832
Reaction score
335
habari zenu wadau wa jf,napenda kuuliza hivi kati ya mwanamke na mwanaume ni yupi anaweza kukaa mda mrefu bila kusex?
 
kukaa sijui, ila ungeuliza yupi anaweza kusimama muda mrefu bila sex ningekujibu
 
Wote ikiwa mmeamua na kuekeana mikakat madhubuti na kuepuka vushawish hatarishi
 
Haina cha jinsia. Inategemea na mambo mengi. Mwanamke ambaye hajawahi ku come na ku experience ile raha ya ku come anaweza kukaa mida mrefu. Ila mwanamke ambaye amezoea ku come na ku enjoy hawezi kuvumilia muda mrefu. Wanaume halikadhalika
 
Back
Top Bottom