Kwa wadada tu wakaka hamuhusiki hapa

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,284
7,142
Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha, nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME.

Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa Arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni Administrator wa TOUR COMPANY fulani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyotongoza ila nikaona awe kwenye list.

Kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.

KUNA WACHAGGA mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.

NIKUBALI KUOLEWA UMASAINI niwaache WAMARANGU? kumbukeni pesa ni muhimu kwenye maisha.
 
Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME .Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa Arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni Administrator wa TOUR COMPANY flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.Kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
KUNA WACHAGGA mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
NIKUBALI KUOLEWA UMASAINI niwaache WAMARANGU? kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.
Halafu ukishamchagua mmoja, hao wengine unawapeleka wapi?
Post ya kwanza hiyo jamani.
 
Kwanza kabisa sifagilii watu wanaopanga wenzao mstari!So unfair maana wenyewe unaweza kuta wamefika kumbe wako kwenye majaribio!!Ushauri..pesa zinaisha kwahiyo ukizitumia kama kigezo cha kuolewa baadae mambo yakaenda ndivyo sivyo ndo mwanzo wakutengana kwasababu hutokua na mapenzi ya kweli!Kama unampenda Mmassai yeye ndo anakufaa!Kama ni pesa mtatafuta pamoja!
 
Nimechanganyikiwa ngoja nivute pumzi! By the way unawezaje kuwa na multiple relationships? Mh!
 
mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa mume .kuna kaka wa kimasai kakulia hapa arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni administrator wa tour company flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
Kuna wachagga mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
Nikubali kuolewa umasaini niwaache wamarangu? Kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.

Marytina naomba nikuulize swali kwani wewe umegeuzwa Test Tube????????
 
Kwanza kabisa sifagilii watu wanaopanga wenzao mstari!So unfair maana wenyewe unaweza kuta wamefika kumbe wako kwenye majaribio!!Ushauri..pesa zinaisha kwahiyo ukizitumia kama kigezo cha kuolewa baadae mambo yakaenda ndivyo sivyo ndo mwanzo wakutengana kwasababu hutokua na mapenzi ya kweli!Kama unampenda Mmassai yeye ndo anakufaa!Kama ni pesa mtatafuta pamoja!
Well said!!...........Lakini sasa Lizzy........kwani mwenye hela hawezi kuwa na mapenzi? naona kama uchagga unarudia hapa, especially umarangu.
najaribu kusoma katikati ya mistari ya bidada hapo juu
 
wewe bigitaria nimesama wanaume hamuhusiki manake mpo kutukandia tu wadada, niwe na mmoja akinipiga chini nianze tena kuweka mitego ntanasa lini au unataka niolewe uzeeni au nikose kabisa wa kunioa? UMBEA TU HI THREAD NI KWA WADADA .
 
Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME .Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa Arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni Administrator wa TOUR COMPANY flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.Kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
KUNA WACHAGGA mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
NIKUBALI KUOLEWA UMASAINI niwaache WAMARANGU? kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.

Sio tukumbuke pesa ni muhimu katika maisha kwani nani hajui hilo banaa, wewe sema unapenda pesa acha kutuzuga hapa banaaa
 
wewe bigitaria nimesama wanaume hamuhusiki manake mpo kutukandia tu wadada, niwe na mmoja akinipiga chini nianze tena kuweka mitego ntanasa lini au unataka niolewe uzeeni au nikose kabisa wa kunioa? UMBEA TU HI THREAD NI KWA WADADA .
nani kakwambia mimi mwanaume?........omba radhi.
 
Kwanza kabisa sifagilii watu wanaopanga wenzao mstari!So unfair maana wenyewe unaweza kuta wamefika kumbe wako kwenye majaribio!!Ushauri..pesa zinaisha kwahiyo ukizitumia kama kigezo cha kuolewa baadae mambo yakaenda ndivyo sivyo ndo mwanzo wakutengana kwasababu hutokua na mapenzi ya kweli!Kama unampenda Mmassai yeye ndo anakufaa!Kama ni pesa mtatafuta pamoja!
ila mama yangu mchagga ntamchanage kuwa nataka kuwa na masai
 
Back
Top Bottom